Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huwa najiuliza sana haya maswali kwa maana nimeona kwamba sisi Waafrika ni watu wa midomo sana, hivi siku ikija nchi ya Kiafrika ikawa na Uchumi wa Trilion US Dollars kama vile Wazungu au Wajapani, Wachina &Co itakuwaje?
Kwa maana hapa tu ukiangalia kanchi kama Kenya kana uchumi wa kabilioni kadhaa lkn ukimsikia Mkenya akiongea utafikiri Kenya ina trilion Dollar economy au hata Tanzania ni hivyo hivyo!
Mbona Wajapani au Wazungu hawako hivyo yaani hawana midomo midomo wakati ukingalia mauchumi yao yako kwenye matrilioni, Marekani ina zaidi 15 trilion Dollar economy, Japan ana zaidi ya 4 trilion Dollar economy lkn ukikutana na Mjapani ni watu simpo tu wala wkt mwingine hauwezi kujua kama anatoka nchi yenye Trilion Dollar economy!
Sasa njoo kwa Mwafrika siku ikijengwa shopping mall tu nchini mwake basi matako hulia mbwata, sasa ni kwa nini??
Unakuta Mwafrika siku akienda Ulaya utakuta kazaliwa na kukulia hapa hapa Bongo, akaja kwenda Ulaya miaka 3 tu, akirudi ukienda kumpokea airport anaanza kulalamika mara joto sana, vumbi, mwingine anaogopa kupanda daladala wkt miaka yote kasoma Tambaza alikuwa anapanda chai maharage tena anapanda nyuma kwenye mlangao baada ya kujaa kwanza, kuna mmoja alikuja na mtoto wake tukaenda kijijini akamchukulia mtoto wake uma na kisu ktk Dar, sasa kwanini tuko hiyo? Mbona Wajapani au Wazungu ni watu simpo tu ili hali wao wanatoka kwenye manchi yenye zaidi ya trilion dollars economy??