Siku vijana watakapoamua kupiga kura ndio utakuwa mwisho wa CCM katika nchi hii

theD

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
311
458
Siku vijana watakapoamua kupiga kura ndo utakua mwisho wa CCM kuongoza nchi.
Nimesimamia chaguzi baadhi, naa wapiga kura wengi wa CCM ni wazee na kama vijana ni idadi ndogo sana na ni wale vijana ambao hawajitambui ambao wanategemea kupewa tishet za ccm ili ziwe nguo zao za kuvaa.

CHADEMA wamefanikiwa kuwashawishi vijana wengi lakini bado kuna shida moja tu, vijana wengi hawapigi kura.
 
Siku vijana wataamua kupiga kura ndo utakua mwisho wa ccm kuongoza nchi,
Nimesimamia chaguzi baadhi ,Na wapiga kura wengi wa ccm ni wazee na kama vijana ni idadi ndogo sana na ni wale vijana ambao hawajitambui ambao wanategemea kupewa tishet za ccm ili ziwe nguo zao za kuvaa.Chadema wamefanikiwa kuwashawishi vijana wengi lakn bado kuna shida moja tu,Vijana wengi hawapigi kura.

KUNA MWISHO MWINGINE, KURA SIO MWISHO, UJINGA HUU, WE NGOJA, KUWA MVUMILIVU UTAUONA MWISHO, ONDOA UONGO WAKO HAPA, KINONDONI KWA HIYO WALIKUJA TU WAZEE? VIJANA HAWAKUWEPO?
 
Siku vijana wataamua kupiga kura ndo utakua mwisho wa ccm kuongoza nchi,
Nimesimamia chaguzi baadhi ,Na wapiga kura wengi wa ccm ni wazee na kama vijana ni idadi ndogo sana na ni wale vijana ambao hawajitambui ambao wanategemea kupewa tishet za ccm ili ziwe nguo zao za kuvaa.Chadema wamefanikiwa kuwashawishi vijana wengi lakn bado kuna shida moja tu,Vijana wengi hawapigi kura.
Vijana wanapiga kura kwenye mitandao ya kijamii.
 
Siku vijana wataamua kupiga kura ndo utakua mwisho wa ccm kuongoza nchi,
Nimesimamia chaguzi baadhi ,Na wapiga kura wengi wa ccm ni wazee na kama vijana ni idadi ndogo sana na ni wale vijana ambao hawajitambui ambao wanategemea kupewa tishet za ccm ili ziwe nguo zao za kuvaa.Chadema wamefanikiwa kuwashawishi vijana wengi lakn bado kuna shida moja tu,Vijana wengi hawapigi kura.
Sanduku la kura haliamui mshindi,zaidi ya polinec,
 
Umesahau bao la mkono sio? Lazima mifumo yote yakishamba ichomolewe ibadilishwe kuanzia 26042018 +
 
Siku vijana watakapoamua kupiga kura ndo utakua mwisho wa CCM kuongoza nchi.
Nimesimamia chaguzi baadhi, naa wapiga kura wengi wa CCM ni wazee na kama vijana ni idadi ndogo sana na ni wale vijana ambao hawajitambui ambao wanategemea kupewa tishet za ccm ili ziwe nguo zao za kuvaa.

CHADEMA wamefanikiwa kuwashawishi vijana wengi lakini bado kuna shida moja tu, vijana wengi hawapigi kura.
Hebu jaribu kurejeza kidogo akili yako ktk chaguzi za ZNZ tangu mwaka 1995 hadi 2015 ukipata picha hiyo ndiyo urudi hapa na mada mpya siyo huu utoto.
 
Back
Top Bottom