Siku vijana watakapoamua kupiga kura ndio utakuwa mwisho wa CCM katika nchi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku vijana watakapoamua kupiga kura ndio utakuwa mwisho wa CCM katika nchi hii

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by theD, Mar 30, 2018.

 1. theD

  theD Member

  #1
  Mar 30, 2018
  Joined: Mar 23, 2018
  Messages: 98
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 40
  Siku vijana watakapoamua kupiga kura ndo utakua mwisho wa CCM kuongoza nchi.
  Nimesimamia chaguzi baadhi, naa wapiga kura wengi wa CCM ni wazee na kama vijana ni idadi ndogo sana na ni wale vijana ambao hawajitambui ambao wanategemea kupewa tishet za ccm ili ziwe nguo zao za kuvaa.

  CHADEMA wamefanikiwa kuwashawishi vijana wengi lakini bado kuna shida moja tu, vijana wengi hawapigi kura.
   
 2. morgan fisherman

  morgan fisherman JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2018
  Joined: Dec 10, 2017
  Messages: 1,074
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  mwsho ni 26/4
   
 3. Extrovert

  Extrovert JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2018
  Joined: Feb 29, 2016
  Messages: 7,127
  Likes Received: 7,901
  Trophy Points: 280
  Jidanganye hivyo hivyo!
   
 4. t

  thetruthtobetold JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2018
  Joined: Jan 17, 2018
  Messages: 515
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 180
  KUNA MWISHO MWINGINE, KURA SIO MWISHO, UJINGA HUU, WE NGOJA, KUWA MVUMILIVU UTAUONA MWISHO, ONDOA UONGO WAKO HAPA, KINONDONI KWA HIYO WALIKUJA TU WAZEE? VIJANA HAWAKUWEPO?
   
 5. m

  mtoto wa mjini JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2018
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 1,761
  Likes Received: 799
  Trophy Points: 280
  Vijana wanapiga kura kwenye mitandao ya kijamii.
   
 6. T

  TIBIM JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2018
  Joined: Dec 1, 2017
  Messages: 2,218
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Sanduku la kura haliamui mshindi,zaidi ya polinec,
   
 7. e

  edson Dominic Jr JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2018
  Joined: Nov 9, 2016
  Messages: 222
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Bila tume huru ya uchaguzi unatwanga maji kwenye kinu
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2018
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 42,478
  Likes Received: 26,041
  Trophy Points: 280
  Tangu lini chaguzi za ccm tanzania box la kura likawa ndio muamuzi??
   
 9. LIDUMBE SHULENI

  LIDUMBE SHULENI Senior Member

  #9
  Mar 30, 2018
  Joined: Mar 30, 2018
  Messages: 124
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Mmmh Jecha atakua WAP?.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 40,252
  Likes Received: 33,558
  Trophy Points: 280
  Vijana wakipiga kura ndio CCM hawaziibi?
   
 11. Mlima simba

  Mlima simba JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2018
  Joined: Dec 28, 2017
  Messages: 1,636
  Likes Received: 2,685
  Trophy Points: 280
  Kura kama zingepigwa kwenye mitandao ya kijamii ccm ingepata 5% ya kura zote
   
 12. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2018
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 24,718
  Likes Received: 11,038
  Trophy Points: 280
  Ccm huwezi kuwatoa kwa kura.....

  Ova
   
 13. LIKE Niku ADD

  LIKE Niku ADD JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2018
  Joined: Jul 21, 2014
  Messages: 3,798
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Umesahau bao la mkono sio? Lazima mifumo yote yakishamba ichomolewe ibadilishwe kuanzia 26042018 +
   
 14. m

  msege Senior Member

  #14
  May 6, 2018
  Joined: May 21, 2016
  Messages: 189
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Hebu jaribu kurejeza kidogo akili yako ktk chaguzi za ZNZ tangu mwaka 1995 hadi 2015 ukipata picha hiyo ndiyo urudi hapa na mada mpya siyo huu utoto.
   
 15. NgugiAchebe

  NgugiAchebe JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2018
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 1,034
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Vijana wataamua mwaka 20100 tayari tumeumia
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...