Uchaguzi 2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kuna daraja linarekebishwa usiku na mchana njia ya Dom - Iringa kupitia pale Mtera kwa ajili ya gari za Meko kupita kuja huku mikoa ya nyanda za juu kusini, si unajua ana magari kama msafara wa siafu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakusanya nguvu anamtuma PLPL na yule mfukuza tumbili kusafisha njia
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kuna daraja linarekebishwa usiku na mchana njia ya Dom - Iringa kupitia pale Mtera kwa ajili ya gari za Meko kupita kuja huku mikoa ya nyanda za juu kusini, si unajua ana magari kama msafara wa siafu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia magari ya Serikali inafaa katiba irekebishwe katiba ya Tanzania ni katiba mbaya kuliko zote Duniani
 
Lete ushahidi hapa kufukuzwa kwa Mnyika na wenzake

Mwenye macho haambiwi ona, na bado baada ya uchaguzi nyumba haitokalika, mtabaki na wabunge wamezidi sana watatu (3) na hela hakuna.

MJITAYARISHE NA CONSEQUENCES ZA KUPOTEZA UCHAGUZI ON 28TH, OCTOBER, 2020.
 
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Wakurugenzi wanapokea vitisho saa hii Dodoma.
 
Mwenye macho haambiwi ona, na bado baada ya uchaguzi nyumba haitokalika, mtabaki na wabunge wamezidi sana watatu (3) na hela hakuna.

MJITAYARISHE NA CONSEQUENCES ZA KUPOTEZA UCHAGUZI ON 28TH, OCTOBER, 2020.
Hakuna ugonjwa mbaya kama wa akili, na hupatikana zaidi kwa mboga mboga
 
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Kuna Habari zinasema yu taabani kitandani matatizo ya moyo
 
Yupo kimya lakini mtaani ana kiki sana. Hii maana yake nini?. Ushindi wa kishindo nadhani.
 
Back
Top Bottom