Siku sita zimepita tangu nimuite mwanangu jina la Freeman hizi ndizo sababu za kumuita hivyo

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Habari Wana jamvi?nilitamani aliyekuwa na ujauzito nilio uweka Mimi ajifungue siku ambayo Mbowe aliachiwa lakini haikuwa hivyo.

Sasa ni siku ya sita yangu azaliwe Huyu mtoto nimeamua kumuita jina la freeman.

Kwanza ni kumkumbali Mwenyekiti wa chama Cha denokrasia na maendeleo Mimi hanijui ila mi namjua.

Pili siku kadhaaa kabla mwendazake hajafa, nilipata fursa ya kwenda mkoa wa kagera nikiwa mkoa wa kagera nilimtembelea aliyekuwa mayor wa halimashauri ya Bukoba Mjini, anaitwa Chief.

Nikiwa ma chief kalumuna sehemu Fulani alimwita mwanae anisalimie,yule dogo alinsalimia na kutamka maneno yafatayo.

"Baba mdogo,Mimi simpendi Magufuli kwa sababu alimnyima ubunge baba angu na alishinda lakini alipokonywa" Huyu mtoto cheif kalumuna amemuita jina la freeman

Hakika alitakiwa aitwe freeman maana aliweza kuniingia na kuniambia ukweli.

Je kwa nn wangu nakuita hivo?

Sababu kubwa ni umasikini wangu ilinifanya nisifanye siasa,za kitaifa maana Kuna wakati vyeo viliuzwa,sikuwai na pesa
Kwa kifupi nimemuita mtoto freeman Ili awe mpambanaji na apalangane afanye Yale ninayo yaamini na anayo yaamini Mbowe.

Kinyume chake nasema leo ana siku sita tafadhali mkimuona mtu anaitwa freeman sifis leo ndo yeye.
 
Nilishamwambia Mke wangu siku Mungu akimjalia kupata uja uzito ajiandae kupokea Jina la Freeman au Antiphasi.

Majina yanafata watu na Tabia pia.
 
Habari Wana jamvi?nilitamani aliyekuwa na ujauzito nilio uweka Mimi ajifungue siku ambayo Mbowe aliachiwa lakini haikuwa hivyo.

Sasa ni siku ya sita yangu azaliwe Huyu mtoto nimeamua kumuita jina la freeman.

Kwanza ni kumkumbali Mwenyekiti wa chama Cha denokrasia na maendeleo Mimi hanijui ila mi namjua.

Pili siku kadhaaa kabla mwendazake hajafa, nilipata fursa ya kwenda mkoa wa kagera nikiwa mkoa wa kagera nilimtembelea aliyekuwa mayor wa halimashauri ya Bukoba Mjini, anaitwa Chief.

Nikiwa ma chief kalumuna sehemu Fulani alimwita mwanae anisalimie,yule dogo alinsalimia na kutamka maneno yafatayo.

"Baba mdogo,Mimi simpendi Magufuli kwa sababu alimnyima ubunge baba angu na alishinda lakini alipokonywa" Huyu mtoto cheif kalumuna amemuita jina la freeman

Hakika alitakiwa aitwe freeman maana aliweza kuniingia na kuniambia ukweli.

Je kwa nn wangu nakuita hivo?

Sababu kubwa ni umasikini wangu ilinifanya nisifanye siasa,za kitaifa maana Kuna wakati vyeo viliuzwa,sikuwai na pesa
Kwa kifupi nimemuita mtoto freeman Ili awe mpambanaji na apalangane afanye Yale ninayo yaamini na anayo yaamini Mbowe.

Kinyume chake nasema leo ana siku sita tafadhali mkimuona mtu anaitwa freeman sifis leo ndo yeye.
Hongera bana
 
Back
Top Bottom