nestory masunga
Member
- Jan 20, 2017
- 59
- 26
Naona nacte bado wanachakata majina tu
Kama uliomba afya au ualimu, ingia kwenye profile yako uliyotumia ku apply, utajua tukaka naomba link ya kuingilia
vipi mkuu,ulishapata mrejesho kutoka chuoni au nacte?Ni kweli mkuu kwa hilo..