Siku si nyingi mtabaki wenyewe

Siwamilele

JF-Expert Member
Oct 22, 2019
288
730
CCM walipotia mguu wao wa kijani, kwenye timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars), mpaka wakafikia kumtuma "Bashite" eti akalete ushindi Misri chini ya CCM.
Nyote mnajua kilichotokea!

Watanzania walijitenga mbaaaali na timu yao ya Taifa na kuibatiza jina la "TAIFA CCM" Timu ikabamizwa.

Haya, mkulima akakamata ndege ya watanzania huko SA, mkasema taifa liungane kudai ndege yetu.
Watanzania wakasema "thubutu" si mnapofanya kitu kwa kodi zetu, mnaanza kutunanga eti ni CCM na ya JPM ndo imefanya? Sisi hatuna mda na ndege yenu "mtajijuuuu"

Nyote si mnajua kilichotokea? Mlikula dili na SA mkaja na majigambo eti nyie ni "wanaume" mkulima (beberu)
Akawapandia Cananda, "majike" mkashika mimba, tarehe zilipofika mkajifungua kimyakinya hahahaaaaaa watanzania wakacheeeeeka! Hayawahusu.

Moshi wa Ruangwa sasa heheheheeeee ilikuwa balaaa!
Watanzania wakasema "Israel" shikilia hapo hapo usiachieeeeee!
Netanyahu akazingua doh! Watanzania wakahuzunika sana.
Sijui wale wazee wa Ruangwa hawakuwasiliana vizuri na serikali ya mjini "Tel aviv"? Teh teh!

Juzi juzi WB wakazingua, watu weweeeeeeeeee full shangwe dah!
Watu wakikuchoka bhana, hawaangalii hata hasara aisee.

Sasa, mimacho keshaenda kuwavulia beberu, kiburi chote kwishiney, mabeberu wanakula mzigo tu hahahaaaaa wanakula tunda "kimasihara"

Jana viongozi wa upinzani mkawabebesha "hatia" watanzania wakasema thubutuuuuuuuuu!
Na umaskini wetu lazima tuwaonyeshe "NGUVU YA UMMA" Hao ndio viongozi wetu na ndio viongozi wa taifa hili ingawa hawana "dola" ya Bashiru.
Mnacho paswa kufahamu ni kwamba, watanzania walisha wakataa na hakuna namna nyingine itakayo wafanya wawakubali na kuwapenda.
Nasema, sio muda, "MTAJIKUTA MMEBAKI WENYEWE"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalalamika kwenye mitandao halafu unadai watanzania wamewakataa! Unapima kelele kama kigezo cha kukubaliwa au kukataliwa na wengi!

Hizi kelele za kwenye mitandao ni sawa na paper tiger!

Hata debe tupu hupiga kelele sana mpaka walio mbali hulisikia lakini halina madhara kwa mtu mwenye kulijua kama ni debe tupu!
 
Umoja unaotumika kuwatoa viongozi wa cdm gerezani ukitumika kudai tume huru itapatikana.
Kinachowafanya wawepo gerezani sasa ni ukosefu wa tume huru uchaguzi wa kinondoni.
Kwakweli viongozi wa upinzani wasipotumia umoja huu kudai tume ya huru ya uchaguzi, umoja ambao kwavyovyote, umekitikisa kiti cha enzi cha mfalme Yohana, watangoja sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalalamika kwenye mitandao halafu unadai watanzania wamewakataa! Unapima kelele kama kigezo cha kukubaliwa au kukataliwa na wengi!

Hizi kelele za kwenye mitandao ni sawa na paper tiger!

Hata debe tupu hupiga kelele sana mpaka walio mbali hulisikia lakini halina madhara kwa mtu mwenye kulijua kama ni debe tupu!
Halafu na wewe unajibu kwenye mitandao! bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanakula tunda kimasihara!!!!
[ Juzi juzi WB wakazingua, watu weweeeeeeeeee full shangwe dah!
Watu wakikuchoka bhana, hawaangalii hata hasara aisee.

Sasa, mimacho keshaenda kuwavulia beberu, kiburi chote kwishiney, mabeberu wanakula mzigo tu hahahaaaaa wanakula tunda "kimasihara" ].

Khaaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM walipotia mguu wao wa kijani, kwenye timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars), mpaka wakafikia kumtuma "Bashite" eti akalete ushindi Misri chini ya CCM.
Nyote mnajua kilichotokea!

Watanzania walijitenga mbaaaali na timu yao ya Taifa na kuibatiza jina la "TAIFA CCM" Timu ikabamizwa.

Haya, mkulima akakamata ndege ya watanzania huko SA, mkasema taifa liungane kudai ndege yetu.
Watanzania wakasema "thubutu" si mnapofanya kitu kwa kodi zetu, mnaanza kutunanga eti ni CCM na ya JPM ndo imefanya? Sisi hatuna mda na ndege yenu "mtajijuuuu"

Nyote si mnajua kilichotokea? Mlikula dili na SA mkaja na majigambo eti nyie ni "wanaume" mkulima (beberu)
Akawapandia Cananda, "majike" mkashika mimba, tarehe zilipofika mkajifungua kimyakinya hahahaaaaaa watanzania wakacheeeeeka! Hayawahusu.

Moshi wa Ruangwa sasa heheheheeeee ilikuwa balaaa!
Watanzania wakasema "Israel" shikilia hapo hapo usiachieeeeee!
Netanyahu akazingua doh! Watanzania wakahuzunika sana.
Sijui wale wazee wa Ruangwa hawakuwasiliana vizuri na serikali ya mjini "Tel aviv"? Teh teh!

Juzi juzi WB wakazingua, watu weweeeeeeeeee full shangwe dah!
Watu wakikuchoka bhana, hawaangalii hata hasara aisee.

Sasa, mimacho keshaenda kuwavulia beberu, kiburi chote kwishiney, mabeberu wanakula mzigo tu hahahaaaaa wanakula tunda "kimasihara"

Jana viongozi wa upinzani mkawabebesha "hatia" watanzania wakasema thubutuuuuuuuuu!
Na umaskini wetu lazima tuwaonyeshe "NGUVU YA UMMA" Hao ndio viongozi wetu na ndio viongozi wa taifa hili ingawa hawana "dola" ya Bashiru.
Mnacho paswa kufahamu ni kwamba, watanzania walisha wakataa na hakuna namna nyingine itakayo wafanya wawakubali na kuwapenda.
Nasema, sio muda, "MTAJIKUTA MMEBAKI WENYEWE"

Sent using Jamii Forums mobile app
Andiko lako limefanana na akili yako kabisa aisee.!
 
Umoja unaotumika kuwatoa viongozi wa cdm gerezani ukitumika kudai tume huru itapatikana.
Kinachowafanya wawepo gerezani sasa ni ukosefu wa tume huru uchaguzi wa kinondoni.
Subiri tuwatoe viongozi wote hapo mahali mbaya alafu kinachofuata ni swala la tume huru kwasababu hata mabeberu wameshanyoosha maelezo kuwa hakuna uwezekano wa uchaguzi huru na haki octoba 2020 kwa mwenendo huu wa CCM na vijibwa vyake.
tapatalk_1583902153239.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom