Mkuu..majinga hayo hayawezi hata kuzima moto.
Nadhani zimeisha maana kaongeza siku. Hii taarifa ya jana au juzi "Waziri nkuu angoza siku uchunguzi wa moto kariakoo".
bado wanachunguzaHivi ile ripoti ya uchunguzi wa ajali ya lori la mafuta kuwaka moto morogoro 2019 ilitolewaga?