Siku Riziwani alipotaka baba yake awashughulikie wabaya wake!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,473
51,039
Kisa cha kweli cha miaka kadhaa iliyopita!

Riziwani
: Baba mbona wanakusemasema, wanakufanyia fitina, mbona unawaachia wanakukwamisha?

Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya Rais yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.
 
Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya raisi yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.
Mwishoe na nchi ikamshinda ,yule alikua dhaifu ,huyu mkali,hataki mzaha
 
Wakati sisi tuna—— CHOCHEA KUNI
—-
Tusisahau hizi ni drama zinazowahusu kijani na mitikasi yao... Yaani waparuzane hadi wachubuke haituhusu.

Sisi tunataka justice for Azory na tumuombe Prof. Kabudi asimame kwenye ule ukweli na atende Haki kwa familia ya Azory Gwanda
 
Kisa cha kweli cha miaka kadhaa iliyopita!

Riziwani
: Baba mbona wanakusemasema, wanakufanyia fitina, mbona unawaachia wanakukwamisha?

Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya Rais yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.
Umenikumbusha alivyompuuza mbunge wa Chadema J J Mnyika!
 
Eti kulikuwa na demokrasia enzi za JK!

Slaa ilikuwaje akaibiwa kura 2010 au mmesahau kama mlitubania pua!

Tukio la Mwangosi si mlienda kubandika hizo picha hadi Washington DC.

Matukio ya tindikali kwa waandishi? Alphonse Mawazo je?

Shida ya wabongo unafiki tu hata huyu akitoka mtakuja kuimba mapambio haya haya.
 
Wakati sisi tuna—— CHOCHEA KUNI
—-
Tusisahau hizi ni drama zinazowahusu kijani na mitikasi yao... Yaani waparuzane hadi wachubuke haituhusu.

Sisi tunataka justice for Azory na tumuombe Prof. Kabudi asimame kwenye ule ukweli na atende Haki kwa familia ya Azory Gwanda
IMG-20190721-WA0026.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom