Siku Riziwani alipotaka baba yake awashughulikie wabaya wake!

KIKWETE ALIKUWA MWENYE HEKIMA NA BUSARA. alikuwa mwenye kuona mbali.
alikuwa kiongozi wala hakuwa mtawala
Kama hiyo ni busara, maoni ya mtoto yalikuwa ni ya aina gani? Hata hivyo, kazi yake haikuwa kuwashughulikia wanaomsema. haikuwa kazi iliyomfanya tumchague.

Baada ya jibu moja unampa busara, Vipi yaliyofuata? Ulimboka alisalimika?
 
Kisa cha kweli cha miaka kadhaa iliyopita!

Riziwani
: Baba mbona wanakusemasema, wanakufanyia fitina, mbona unawaachia wanakukwamisha?

Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya Rais yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.

Kwahiyo kuna Ujumbe gani muhimu labda unataka Kuutoa au Kutuambia hapa?
 
Kosa kubwa ni kukabidhi nchi "Mwenye hofu,dhaifu na mshamba".
Hapa ndo mtajua kupigiwa simu za birthday, na rushwa za suti na safari za kupokelewa na wanamziki hazikustahili kuwa ni matendo ya rais.
 
Kisa cha kweli cha miaka kadhaa iliyopita!

Riziwani
: Baba mbona wanakusemasema, wanakufanyia fitina, mbona unawaachia wanakukwamisha?

Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya Rais yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.
Bonge la akili mbovu! Mwenye hakima na busara atukanwe kwa sababu ipi?
 
AWAMU ZOTE nilishudia japo awamu wakwanza nilikuwa mdogo.lakini awamu ya 4 ndyo AWAMU BORA kuliko zote.ni awamu iliyojali haki na demokrasia.
sawa....but ilifanya kosa kubwa lililofuta mazuri yote - kosa la kutuletea huyu!!
 
Kwa sababu hivyo ndivyo demokrasia imara zinavyofanya kazi,hata uwe mzuri kiasi gani wakosoaji lazima wawepo,kinachowatofautisha viongozi wazuri na wabaya ni jinsi wanavyowashughulikia wakosoaji wao.
Lakini alitukanwa sana. Kama alikuwa ni mwenye hekima na busara sana ni kwa nini alitukanwa sana?
 
Nataka kujiudhuru hii nafasi ya SHIRIKA LA KUCHOCHEA KUNI TANZANIA (SHIWAKUTA) Hii Audio Clip niliyopata Muda huu (jpili jioni),Kama nayenyewe Itavujishwa hadharani itapasua NCHI
Mpk sasa hv maongezi mengi ni ya kawaida sana.sidhani hata hyo itakayokuja itashtua hata chembe
 
Usilazimishe kila zama ziwe sawa sawa. Hizo zilikuwa zama za giza. Zama za ujima. Siyo leo, ukileta za kuleta unashughulikiwa pale pale. Mwalimu Nyerere alowahi kusema kwamba ziko kanuni zingine ambazo Mwenyezi Mungu ameziweka, kwamba; ukiungua moto husubili maumivu kuyasikia kesho, bali unamia palepale, ukijikata na kisu unaumia pale pale. Hivi sasa ukitaka kuikwamisha Serikali awamu ya 5 wewe unakwama pale pale. Hakuna lele mama.
Kisa cha kweli cha miaka kadhaa iliyopita!

Riziwani
: Baba mbona wanakusemasema, wanakufanyia fitina, mbona unawaachia wanakukwamisha?

Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya Rais yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.
 
Usilazimishe kila zama ziwe sawa sawa. Hizo zilikuwa zama za giza. Zama za ujima. Siyo leo, ukileta za kuleta unashughulikiwa pale pale. Mwalimu Nyerere alowahi kusema kwamba ziko kanuni zingine ambazo Mwenyezi Mungu ameziweka, kwamba; ukiungua moto husubili maumivu kuyasikia kesho, bali unamia palepale, ukijikata na kisu unaumia pale pale. Hivi sasa ukitaka kuikwamisha Serikali awamu ya 5 wewe unakwama pale pale. Hakuna lele mama.

Hata huyo Nyerere huwa tunamkumbuka kwenye zama za wengine pia
 
I am sure at some point hata deals alizocheza bwana mkubwa enzi zile (hata sasa?) zitaanikwa soon. Hawezi kuwa msafi kama anavyotaka watu wamuamini
 
Huo ndiyo uungwana
Kisa cha kweli cha miaka kadhaa iliyopita!

Riziwani
: Baba mbona wanakusemasema, wanakufanyia fitina, mbona unawaachia wanakukwamisha?

Jakaya: Mwanangu, laiti ungejua mamlaka ya Rais yalivyo, laiti nikiamua kuwashughulikia, nitaumiza wengi. Mwanangu waache waseme, watasema mwisho watachoka.
 
Yule ni mtoto wa mjini.
Kaulize kijiwe cha pentagoni washikaji watakueleza mambo yake
KIKWETE ALIKUWA MWENYE HEKIMA NA BUSARA. alikuwa mwenye kuona mbali.
alikuwa kiongozi wala hakuwa mtawala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom