Siku Rais Magufuli alipokuwa MC wa Dr. Dau

Ukikubali pongezi vile vile uwe tayari kukubali lawama mbeleni!

Hivi malipo ya kurudisha fedha za ujenzi yanaendeleaje??
 
Hahahaha Magufuli aliwaweza sana wazushi maana aliwamaliza kabisa na wengi hawakutegemea kwakuwa walijazwa Majungu sana..hakika hadi leo wamebakia vinywa wazi kabisa. kuna mtu nilikuwa nimekaa nae akasema kweli" Magufuli siwa kutabirika na nimeamini Dr Dau alipigwa majungu". Hadi leo kuna watu hawaamini kilichotokea pamoja na Majungu.

Mkuu, JPJM ana akili za kuzaliwa, kama jamaa alivyo wahi kutushauri kwamba akili za kuambiwa changanya na za kwako - naona kamâ Mkulu MANTRA hiyo anai practice to the letter.
 
Haiingii akilini mtu aliyetoa fedha katika shirika analoliongoza kujenga daraja then siku ya ufunguzi asipewe nafasi maalum ya kuzungumza. Maajabu haya.
 
Faizal fox kwa kweli kabla hujaandika weka point ya msingi kwa nini unaandika?lengo ni nini?maana hata point haionekani...Tatizo la DR DAU alipokuwa NSSF alisababisha taasisi kupoteza mweleko kuwanzia kuajiri...administrative aspect mpaka masuala ya fedha,Katika tadhmini za sisi wanauchumi shilika na NSSF lilikuwa linakufa kwa sababu ya RAMADHANI DAU, nasema hivyo kwa kile nachokijua Ramadhani dau was not Creative japo alikuwa na mtaji kwenye shilika,Ramadhani dau aliendeleza udini kwenye shilika kitu ambacho ni hatari kwa uchumi wa Tanzania,Ramadhani Dau Pamoja na kuwa DR hakujua mwanzo Mpaka anatumbuliws kuwa balozi its demotion mimi nadhani
 
Nasikia kwenye vibanda vya kukatia tiketi za daraja lile wametolewa watu wa imani fulani kutoka maofisini wengine ni CPA holders na kuwekwa kwenye vibanda vile kwenye nafasi za kukatisha tiketi.
lengo ni kuwakatisha tamaa waachane na shirikika hilo kubwa.
 
Back
Top Bottom