Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Na duniani kutakuwa na dhiki kuu.
we ndo yesu ama? umejuaje?jf watanyakuliwa wachache
So Mbinguni is not Peponi?
nauona utukufu wa bwana
walokole bwana!!huko mbinguni kumbe tunaenda na nguo zetu visuruali vilivyobana vinguo vifupi ,mabegi mgongoni eeee .kweli bado sana injili haijahubiriwa na yesu wenu kurudi bado sana.injili haijaeleweka watu wanakula sadaka tu
haha..mkuu, good observation, nilikuwa sijaona hilo!
Bujibuji ina maana gani mchungaji kusema mungu ailaze roho y marehemu mahali pema peponi???
In between umesema peponi=mapeponi .kumbe wanakosea eeee someni biblia kwa umakini its a cmplicating book utaishia na comparizon tu
hwasemi hivyo bibie, huwa wanasema mungu ampumzishe kwa amani
jf watanyakuliwa wachache