siku palapanda ikilia mtu mzima money stunna nitanyakuliwa kama hivi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
44744_388942004522486_709613365_n.jpg 44744_388942004522486_709613365_n.jpg 44744_388942004522486_709613365_n.jpg

apo moja moja mpaka kwa mungu,kutakuwa hakuna njaa tena wala magonjwa,vifo nitaishi milele na kumtukuza mungu
 
walokole bwana!!huko mbinguni kumbe tunaenda na nguo zetu visuruali vilivyobana vinguo vifupi ,mabegi mgongoni eeee .kweli bado sana injili haijahubiriwa na yesu wenu kurudi bado sana.injili haijaeleweka watu wanakula sadaka tu

Haha..mkuu, good observation, nilikuwa sijaona hilo!
 
Bujibuji ina maana gani mchungaji kusema mungu ailaze roho y marehemu mahali pema peponi???
In between umesema peponi=mapeponi .kumbe wanakosea eeee someni biblia kwa umakini its a cmplicating book utaishia na comparizon tu
 
Last edited by a moderator:
Wewe umejiandaaje? Kuna baadhi ya waumini na viogozi wao wanadanganyika kuwaombea wafu wakiamini kwamba kama mfu alikuwa na dhambi basi Mungu atamsamehe lakini ukweli ni kwamba KAMA MTU HAKUCHAGUA KUMTUMIKIA MUNGU WAKATI WA UHAI WAKE BASI MARA TU ANAPOKUWA AMEKUFA HUYO TAYARI HUKUMU YAKE YA UPELELEZI INAKUWA IMEKWISHA NAYE ANASUBIRIA UFUFUO WA ADHABU YA MILELE. KAMWE MUNGU HAINGILII UCHAGUZI WA MTU. KWA HIYO NDUGU KWA WALE WANAODANGANYWA JIHADHARINI NA MAFUNDISHO YA UONGO. SHETANI HAJI KAMA YEYE KUKUDANGANYA BALI HUTUMIA WATU KAMA WEWE KWA SABABU AKIJA JINSI ALIVYO HUTAMKUBALIA. SOMA MAANDIKO UPATE MAARIFA. USISUBIRIE KIFUNGU KITAKACHOSOMWA SIKU YA IBAADA NA KUSUBIRIA TENA MPAKA SIKU NYINGINE YA IBAADA. Tatizo tulio wengi tunaogopa kusoma Biblia kwa sababu inatukataza kutenda dhambi tunazozipenda. JE UMEJIANDAAJE?
 
Hwasemi hivyo bibie, huwa wanasema MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI
Bujibuji ina maana gani mchungaji kusema mungu ailaze roho y marehemu mahali pema peponi???
In between umesema peponi=mapeponi .kumbe wanakosea eeee someni biblia kwa umakini its a cmplicating book utaishia na comparizon tu
 
hwasemi hivyo bibie, huwa wanasema mungu ampumzishe kwa amani

mara ya mwisho kuhudhuria mazishi ya kikristo ni lini? Mimi nimeudhuria last 2sunday na nimesikia hivo.so go and correct quote yako ya udini
 
Mtu hajapenda kupumzika kwa amani na wewe unamwambia Mungu ampumzishe kwa amani! Huyo mtu akijikuta kwenye amani mtamwambia kilichomtoa kanga manyoya. Mwambie Bwana ambadilishe pindi anapokuwa bado yuko hai tusiwe tunafanya tu vitu kwa kufuata mazoea. Hata zile ibada zinazofanyika kwenye misiba zisiwe za kumwombea marehemu bali ZIWE ZA KUWABIRI WATU ILI KWAMBA WAJIFUNZE KUTOKANA NA HICHO KILICHOMPATA MWENZAO NAO WAJIHOJI KUWA KAMA KINGEWATOKEA WAO WANGEWEKWA MKONO GANI? Jamani tuandae maisha yetu tusisubiri kuombewa wakati tumekufa mwenye masikio na asikie na kuyajua haya yote ni kwa kusoma Maandiko Matakatifu.
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom