Siku nzuri ya maandamano ni tarehe 9 dec-baraza la katiba changamkeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku nzuri ya maandamano ni tarehe 9 dec-baraza la katiba changamkeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibrahim K. Chiki, Dec 7, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wadau. Kwa kua tarehe 9 mwezi huu ni sherehe za miaka 50 ya uhuru, na police hawajatangaza vitisho vya alshabab, ni vyema basi siku hyo hyo pia baraza la katiba likatangaza maandamano makubwa yatakayoanzia pale pale taifa. Na sisi wote kwa umoja wetu kugoma kutoka taifa hadi hapo matakwa yetu yatakapotekelezwa...nawakilisha.
   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii itakuwa poa, naomba tu watangaze nitakuwepo
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  naunga hoja!tuanzie uwanja wa taifa mpaka viwanja vya karimjee
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Mi nikajua ni breaking news kumbe breaking ushuzi!
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Good idea, sijui kamanda kijicho atashingizia nini?
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maandamano yafanyie nyumbani kwako na mmeo na watoto wako.
   
 7. m

  mkweli1961 Senior Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono mkuu. Tuwajulishe wengine
   
 8. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  wale jukwaa la katiba sound tu hawana issue...
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Sasa hii breaking news ya wapi we bata? Kafanye maandamano na dfada zako usituletee breaking ushuzi hapa
   
 10. P

  Paul J Senior Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu safi sana, ume think outside the box! Mimi naongezea hapo kuwa kwa Dar yaanzie palepale uwanja wa taifa, vile vile mikoani kam Arusha wakusanyike pale uwanjani-(jina nimesahau), Mwanza pale Kirumba, Mbeya pale Mwanjelwa na Iringa sijui wapi pale. Mikoa mingine atakuwa wanao wanaandama kivyao ila hizi sehemu kuu nne zinakuwa well organized: Madai makubwa yawe


  1. Kupinga mswada uliosainiwa na raisi-urudi kwa wananchi tutoe maoni
  2. Kupanda kwa bei za bidhaa na huduma muhimu
  3.Maslahi duni kwa watumishi wa umma na sekta binafsi
  4. Kutochukuliwa kwa hatua za dhati kwa watuhumiwa wote wa ufisadi
  5 Kupinga malipo ya dowans/richmond
  6 Kusitishwa mikataba yote ya kiunyoyaji katika migodi ya madini
  7. Kupinga uchimbaji wa urenium nchi bila tahadhari madhubuti juu ya madhara yake na kwa hifadhi ya taifa ya selous
  8 Kupinga ongezeko la bei za umeme kama ilivyotangwazwa na Tanesco kupitia wizara ya nishati na madini
  9 Kupinga ukosefu wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa za kuendelea na masomo
  10

  11
  Ongezeni mengine
   
 11. P

  Paul J Senior Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jingine ni ukosefu wa ajira kwa vijana na ubaguzi wa maslahi kati ya wageni na wazawa
   
 12. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wadau, kenya kwa sasa ipo vitani ikipambana na alshabab..lakini jana wote tuliona jinsi madaktari wa kenya walivyoamua kugoma..na police wa kenya hawakuwaambia swala la threat ya alshabab wala nini. Tanzania hata vita na alshabab hatuna ila tukitaka kuandamana tunaambiwa alshabab. Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Kama vp baraza la katiba tarehe 9 ndo siku nzuri ya kuandamana sababu security itakua tight. Changamkeni aisee.
   
 13. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  labda na ....na masaburi yako, huku nikikukameruni taratibu.
   
 14. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  unawashwa wewe, una hamu ya mashne na ntakukameruni wewe na dada zako ndezi wewe.
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Mkuu Rejao, hivi ni kwa nini Serikali yetu inaogopa sana maandamano?
   
 16. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona sijaona kama ni breaking news, inawezekana wewe ndio hujaelewa topic, sioni sababu ya kuwa mkali.
  Lakini pia hata katika hii post yako sijaona sehemu yoyote uliyopinga au kukataa kwa hoja. Ningefurahi sana kama ningeona hoja yako hapa kuliko kutukana watu asubuhi asubuhi hii, wewe hujisikii vibaya kutukana watu hadharani? Hiyo ni hoja yake, unaweza ukaiunga mkono au ukaipotezea-huo ndio utu uzima(GT).

  Sawasawa?
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Polisi walishatoa Al-sababu siku nyingi! Lol...
   
 18. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Duh, kweli we ni Rejao.
   
 19. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Mkandara naunga mkono hoja, walitishiwa mara moja, waote kimya. SI CDM, NCCR, WANAHARAKATI NA JUKWAA LENYEWE
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  NI jinsia ke, waoga sana katika kudai haki, lakini ikishapatikana wanakuwa wa kwanza kudai usawa. usawa pasipo kuwajibika? bora mwenzie FF kajipambanua ni ke, hivyo hatusumbui sana
   
Loading...