Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Katika maisha ya mapenzi kuachwa ni jambo la kawaida japo lisilozoeleka, halina mzoefu, kuona umeachwa halafu mwanamke huyo akachukuliwa na mwanaume mwingine, ukipiga picha kinachoendelea wakiwa kitandani, inaumiza sana. Nimekuwa na bahati mbaya ya kuachwa kila wakati, katika kuachwa kote huyu dada sitamsahau kamwe:
...... nilidhani unajua mapenzi, kumbe kitandani hakuna unachokijua, hujanirdhisha kabisa. Nikadhani atanipatia nafasi nyingine niboreshe zaidi, kumbe ndo kaniacha.

Wewe uliachwa kwa maneno gani??????
 
Pole sana ndugu ulikua ushachokwa aseee, au kweli wewe kitandani hakuna kitu??? Ukute maneno meengi matendo sifuri, ila c ushapata mwingine alieona unafanya vzur kitandani?? JEKI
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu ulikua ushachokwa aseee, au kweli wewe kitandani hakuna kitu??? Ukute maneno meengi matendo sifuri, ila c ushapata mwingine alieona unafanya vzur kitandani?? JEKI

wewe hujawahi kuachwa mama la mama, uliambiwaje?
 
Last edited by a moderator:
hAHAHAHAAAA HAPA NDIO PA KUSHINDA HAPA HUKO KWENYE SIASA MMMHHHHH

mi sikumbuki kuachwa bhana na hao niliowaaacha tuliachana kwa amani sana japo .......
Elli japo nini, funguka.
 
Last edited by a moderator:
Mi sijawahi achwa na wengi niliowaacha sikugombana nao mpaka leo nikiomba gemu la kuiba wananipa
 
Mimi niliambiwa wazazi hawajabariki hili suala nikasema vizuri ,ila naendelea kama kawa kupewa mzigo kimtindo sema na mm niko 50/50 kama mchezaji wa kulipwa vile ukimtoa Liverpool anaifunga kutokea Chelsea
 
Hukuona upepo ukigeuka?
Tatizo ni kuwa king'ang'anizi,ukiona mambo hayaendi na unajaribu kurekebisha mwenzio hatoi ushirikiano ujue ni suala la muda tu kila mtu atashika njia yake
 
Kwa nn usubili kuaxhwa?? Ukiona upepo hauelekei acha wewe, kama ushajijua ya kitandan huyawez nin kusubir kuachwa??? Jitoe katafute wa type yako ambao woke kitandan hamjui kitu
 
Mapenzi ni A GAME OF CHANCE! The one whom the gods seek to destroy comes calling first!

Ukitaka kufaidi mapenzi wewe siku zote DONT TAKE IT SERIOUS! Fanya tu kama ni game of chance, chances zako zikiimprove cheza karata zako vizuri kama kutoa JOKER, chances zako zikififi we lamba tu, kwa imani kuwa hata opponent wako hatopata karata inayohitajika soon.

Ukitolewa kwenye mchezo, usiwaze sanaa we ingia kwenye mchezo mwingine! Hivo hivo! No regrets! No remorse as long as you played your best moves!
 
"Princeple" ukipendwa kua tayari kuachwa na ukipenda kua tayari kuacha
 
Ndugu yangu Maneno yanayo toka kwenye kuachana sio ya ukweli. Unaweza kuambiwa chochote. Watoto sio wako hataka kama wamefanana na wewe. Hausimami hata kama umemzalisha na alikua akilia na kusema nitukanie mama. etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom