Siku nikiwa na pesa naitwa majina mazuri na matamu tu.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Tabia hii ya kuiniita majina matamu matamu imekithiri kwa my wife hasa nikiwa na pesa mfukoni, na hata inapokaribia mwisho wa mwezi.


Na tabia hii nimeishudia kwa baadhi ya watu na hata viongozi kuita wakubwa wao majina mazuri mazuri tu.


Sasa sijajua kama ni unafiki au ndio kujipendekeza .

Labda kwa nyie wenzangu hali ikoje kwenu huko?
 
Wahenga walisema mkono mtupu haulambwi. Ninaweza kusema hapa duniani watu wanaotuthamini kiukweli ni ndugu, na labda labda mtu alieshika sana dini basi atathaminiwa na wana dini hiyo walioshika dini

Kwingine kote, utaona unathaminiwa sababu una fedha au uwezo, ukikosa hivyo wapo watu watakushit kama takataka, Ila kwa wachache waungwana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom