Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Mapenzi yamekupiga 2-0 ndugu yangu, pole na ulivo jinga umependa tena kabla hujapona aaih utalia soon tena😂 (joke bana siombei hivo)
Wewe wakuniambia mimi haya..? Ama kweli dunia imevaa dera! Mimi 2-0!!!! Basi wewe ni negative 5 kwa 0 Yani mpaka unadaiwa!.. mbilimbi mkubwa wee..😂
 
Kwan ukiliwa kimasihara kuna shda gan??
Kuliwa kimasihara wala si shida na naamini si kimasihara ni planned kabisa maana mdada kama hayuko tayari hawezi kuhave sex bila ridhaa yake, shida ni kuja kutangaza na kujisifia publicly ndiyo inakua kama udhalilishaji hivi ndiyo hatupendi.
 
Ok!
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki za hapa na pale ilimradi mdomo uende kinywani, katika pita pita zangu humu JF kwenye jukwaa fulani niliwahi kumuona dadaangu Financial Services alikuwa ametoa komenti flani katika hiyo mada kitu ambacho kikazidi kunifanya nimfuatilie zaidi kutaka kumfahamu kwa undani nikaja kumgundua ni mwanamke mcheshi na anaecheka na kila mtu yupo comfortable lakini dhumuni langu la nyuzi yangu hii ni kwamba kama siku nitakuja kukutana na huyu dada financial services nitaka nimuulize maswali yangu mawili haya hapa.

1. Amewezaje kujiweka katika hali ya ucheshi na kuwaheshimu kila member wa JF kwa urembo wake alionao ni ngumu kwa mwanamke kama yeye kukosa malingo kama wanawake wenzie wa JF ambao mda wote pm wamefunga sometime wana majibu mabaya sana.

2. Ikiwa ni mchangiaji mzuri sana katika lile jukwaa letu la kula tunda kimasihara nimewahi kumfuma kama mara mbili je amejiandaaje kuzikwepa mbinu za masela wanaokula tunda kimasihara ili na yeye asije andikiwa uzi kule? Pia hapo hapo nitamuunganishia na swali lingine Jamii Forums imempa faida gani na hasara gani toka alipojiunga hadi sasa?

financial services
...Kwa urembo wake ule....

Urembo upi?
We una uhakika?
Ni yeyee?

Acha wizi mkuu unatega ule kimasihara syo? Ushakosa kimasihara wizi kabisa uo urembo wake umeona wapi?

Unaleta swaga za nikilala usingizi sipati nakuota wewe.
 
Kuliwa kimasihara wala si shida na naamini si kimasihara ni planned kabisa maana mdada kama hayuko tayari hawezi kuhave sex bila ridhaa yake, shida ni kuja kutangaza na kujisifia publicly ndiyo inakua kama udhalilishaji hivi ndiyo hatupendi.
Kweli unachosema sema mimi nawish kukutana na ww mkuu
 
Back
Top Bottom