Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na watu humu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata wateja humu nilivoandika kuuuza mapazia yangu. Nashukuru

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who know and why not ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
Mama mchumba si nko apa tafadhali acha kuhangaika kwingine.
 
Umetisha financial services; Humble, smart and grateful. Ndio maana mwamba kadata.
Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na baadhi ya watu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who knows at ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
 
Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na baadhi ya watu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who knows at ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
Hongera kwa yote mazuri ulioyapata huku
Hongera pia kwa sifa njema juu yako zilizo tajwa.

Sijui wenzangu mumewezaja hili, binafsi nina mwaka mwaka wa saba hapa sijawahi kujuana na mtu yoyote huku iwe kwa wazi au faragha!
 
Aisee si mbaya kutokuonana mtakutana hata kwenye comments tu ni sawa, mimi kuonana ilikua ni vile niliandika uzi wa kuomba kazi so nikapata responses za kupeleka CVs, kufanya interviews so ndiyo maana nilionana na watu, japo wengine nilishawasahau sasa.
 
Back
Top Bottom