Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Wooow umejibu swali langu vizuri sana sema japo kuna kaswali ka uchokozi umekaruka kukajibuila sio mbaya siku tukikutana naweza kukuuliza sema nimependa sana tuwe marafiki ni mwanamke mmoja ambae nakukubari sana na nimekuwa nikikufuatilia kwa karibi mno mimi pia nimesoma hiyo kozi yako uliyosoma sema nimesoma BPA ila now npo jobless bado sijapata mchongo na imani kampani yako kwangu nitajifunza vitu vingi 0622271517 hii nambaangu japo nimeamua kuiweka public despite it can be a risk to me by whatever
Dah hiyo namba ya simu ni risk mkuu, kaswali gani nimeruka ka masikhara?
Usijali utapata tu kazi siku yako inakuja ila muhimu kujituma kutafuta bila kuchoka, fukuzia fursa popote zilipo.
 
neno CPA msilitaje taje sana humu, mana kila nkiliona namkumbuka mhasibu wa college ya Tiba (udom) (CPA Abdul) alikuwa mnoko sana.
Hukulipa ada ama?😂😂 lazima wawe wanoko kupata CPA si mchezo, alikukomesha. Ningekua mimi ungejuta zaidi🤪
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki za hapa na pale ilimradi mdomo uende kinywani, katika pita pita zangu humu JF kwenye jukwaa fulani niliwahi kumuona dadaangu Financial Services alikuwa ametoa komenti flani katika hiyo mada kitu ambacho kikazidi kunifanya nimfuatilie zaidi kutaka kumfahamu kwa undani nikaja kumgundua ni mwanamke mcheshi na anaecheka na kila mtu yupo comfortable lakini dhumuni langu la nyuzi yangu hii ni kwamba kama siku nitakuja kukutana na huyu dada financial services nitaka nimuulize maswali yangu mawili haya hapa.

1. Amewezaje kujiweka katika hali ya ucheshi na kuwaheshimu kila member wa JF kwa urembo wake alionao ni ngumu kwa mwanamke kama yeye kukosa malingo kama wanawake wenzie wa JF ambao mda wote pm wamefunga sometime wana majibu mabaya sana.

2. Ikiwa ni mchangiaji mzuri sana katika lile jukwaa letu la kula tunda kimasihara nimewahi kumfuma kama mara mbili je amejiandaaje kuzikwepa mbinu za masela wanaokula tunda kimasihara ili na yeye asije andikiwa uzi kule? Pia hapo hapo nitamuunganishia na swali lingine Jamii Forums imempa faida gani na hasara gani toka alipojiunga hadi sasa?

financial services
Unataka kuvunjwa mbavu na liji Baunsa lake wewe!!..... hana shida yule ukimtaka atakuja tu ila sasa!! Gujemba gwake gule mweee! Miraba minne hutarudia tena....
 
Wala usiogope huenda kweli mimi ni pimbi😂

Haya👍
Hayaaa leooo!! haya leooo!!...... umemtaja financial service kaja kweli!! mwambie sasa!! mwambieee!! usiseme mara mie oooh! sijui tuonane wapi kule......pm mara ohoo! kijitonyama huyo hapo sema tuone!! heee!! ee.....

mara oohe chukua number zangu sema!!.... sasa ....sema!
 
Sio kweli sina maana ya kutaka kukutana na ww ili nifanikishe lengo la kukula mbususu kimasihara but ngoja nikupe ushaidi mmoja kuna mdada niliwahi kukutana nae humu humu jf jina namuifadhi nilikutana nae jukwaa la siasa kule nilimpenda tu awe rafk kutokana na comment zake unajua humu mtu anapimwa na kile anachokiandika humu unamjua huyu mtu ni wa aina ipi japo somtym it not matter basi tukaanzaga urafiki humu bila kujuana almost 2 months then tukajaga kujuana ana kwa ana nimedumu nae urafiki hadi now ni kama dadaangu wa faida tunashauriana mambo mbalimbali ya kimaisha pia japo first time tumeonana wote tulikuwa surpise ila sometime it not bad kuwa na urafiki na different gender
Alaaa! mnaanzaga iviviv!! mara........
 
Hayaaa leooo!! haya leooo!!...... umemtaja financial service kaja kweli!! mwambie sasa!! mwambieee!! usiseme mara mie oooh! sijui tuonane wapi kule......pm mara ohoo! kijitonyama huyo hapo sema tuone!! heee!! ee.....

mara oohe chukua number zangu sema!!.... sasa ....sema!
😀😀 aseme yoote namsikiliza hapa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom