Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na baadhi ya watu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who knows at ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.

Loli dogo nkota ugho onwile ghokubhomba embombo, abhajhanga bha muno bhakughanile fijo ghwetu...
 
Miaka nenda miaka rudi
respect.
Wooow umejibu swali langu vizuri sana sema japo kuna kaswali ka uchokozi umekaruka kukajibuila sio mbaya siku tukikutana naweza kukuuliza sema nimependa sana tuwe marafiki ni mwanamke mmoja ambae nakukubari sana na nimekuwa nikikufuatilia kwa karibi mno mimi pia nimesoma hiyo kozi yako uliyosoma sema nimesoma BPA ila now npo jobless bado sijapata mchongo na imani kampani yako kwangu nitajifunza vitu vingi 0622271517 hii nambaangu japo nimeamua kuiweka public despite it can be a risk to me but whatever
financial services
 
Hi kenny mtanashati ! Sasa hayo maswali umeshaniuliza ama tusubirie hadi tukikutana?

In short nipo kawaida sana kiasi haina haja hata ya kuwa na maringo for what sasa? Sina cha kuringia mkuu labda mbususu napo kila mwanamke anayo so ni kawaida tu.

Kiukweli tangu nijoin Jf sijawahi kujutua kabisa na i wish ningejoin mapema huenda ningepiga hatua zaidi ya hapa, maana jf inazidi kunifungua uelewa kila kukicha.pia nimepata kufahamiana na baadhi ya watu na nawashukuru kwa kila aina ya support niliyowahi kuipata from them.

Pia nilipata kazi humu ndani baada ya kuandika uzi wa kuomba kazi na boss wangu yupo humu heshima yake sana maana ile experience niliyoipata kwake ndiyo imenisaidia kupata kazi sehemu nyingine na nyingine.

Nilipata ushauri na mawazo nilipoandika kuhusu kusoma CPA.

Nilifarijiwa baada ya kuandika kuhusu wakati mgumu niliokua napitia baada ya breakup

Huenda hata mume anaweza kutokea jf who knows at ikiwa watu waliopo mtaani ndiyo sisi tuliopo humu, so lolote linawezekana.

Kiujumla nawaheshimu sana wote humu japo sometimes tunapishana kauli nk ni kiubinadamu tu. Ila sijawahi kuijutia kuifahamu jf.
Mbarikiwe wote.
Wooow umejibu swali langu vizuri sana sema japo kuna kaswali ka uchokozi umekaruka kukajibuila sio mbaya siku tukikutana naweza kukuuliza sema nimependa sana tuwe marafiki ni mwanamke mmoja ambae nakukubari sana na nimekuwa nikikufuatilia kwa karibi mno mimi pia nimesoma hiyo kozi yako uliyosoma sema nimesoma BPA ila now npo jobless bado sijapata mchongo na imani kampani yako kwangu nitajifunza vitu vingi 0622271517 hii nambaangu japo nimeamua kuiweka public despite it can be a risk to me by whatever
 
Kwahiyo unataka tuonane for kimasihara ila isiwe ya kuja kutangaza humu? Ni kweli huo uzi wako ulikua ni mtego kama watu walivosema?
Sio kweli sina maana ya kutaka kukutana na ww ili nifanikishe lengo la kukula mbususu kimasihara but ngoja nikupe ushaidi mmoja kuna mdada niliwahi kukutana nae humu humu jf jina namuifadhi nilikutana nae jukwaa la siasa kule nilimpenda tu awe rafk kutokana na comment zake unajua humu mtu anapimwa na kile anachokiandika humu unamjua huyu mtu ni wa aina ipi japo somtym it not matter basi tukaanzaga urafiki humu bila kujuana almost 2 months then tukajaga kujuana ana kwa ana nimedumu nae urafiki hadi now ni kama dadaangu wa faida tunashauriana mambo mbalimbali ya kimaisha pia japo first time tumeonana wote tulikuwa surpise ila sometime it not bad kuwa na urafiki na different gender
 
Back
Top Bottom