Siku mungu atamke kwa binadamu wote "fuata umpendaye kwa dhati" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku mungu atamke kwa binadamu wote "fuata umpendaye kwa dhati"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Madenge, Oct 6, 2012.

 1. M

  Madenge Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Itokee siku moja Mwenyezi Mungu atutamkie viumbe wake kuwa kila mmoja wetu amfuate yule ampendaye kwa dhati toka moyoni. Hata kama uko kwenye ndoa/mahusiano kama mpenzi/mke/mme wako ndiye basi baki hapo hapo, lakini kama siyo basi mfuate yule ambaye moyo wako unampenda kwa dhati. Nafikiria hivi itakuwaje?::argue::hug::angry::smiling::crying:
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Acha pepo la uasherati, kumbuka Alichounganisha Mungu na asiwepo mwanadamu wa kukitenganisha. Na ushindwe kwa jina la Yesu.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Huyo atakuwa ni Mungu wa Wahindi, maana wadosi miungu yao inazingua kichizi
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  utashangaa, yaani basi tu.
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mi ningemfuata huyu huyu nile nae. Sijawahi kuwazia kuwa kuna mwingine ambaye angekuwa better than him. Namshukuru Mungu kwa hio.

  Yes hayuko perfecto lakini naona ana asavali asavali kuliko wanaume wote ninao wafahamu, kama mashemeji, ma ex, makaka na wengine nilowahi kuwafahamu maishani. Lol.

  Ila ni pale mi ntakapomfuata afu yeye amfuate mwingne.lol.

  Ila juzi kati alinitumia kadi..inasema ameamua ku follow his heart and his heart has led him to me. Naamini si maneno ya kadi tu he mean it.
   
 6. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .... pia ungesema mungu aifungue na kuziweka wazi siri zilizoopo kwenye mioyo ya pair nyingi, Nadhani dunia ingeongoza kwa kuwa na "singles'' wengi
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Good new is that Mungu hafanyi kazi kwa amri za binadamu. Hakufanya hivyo, hafanyi hivyo na hatafanya hivyo. Hivyo basi kusema kuwa siku Mungu atafanya kama mleta mada anavyotaka ni kupoteza muda kufikiri visivyofikirika badala kutumia bongo zetu kushughulika matatizo yanayosuluhishika. God will nary say that everybody should follow the one he or she loves. Mie nimependaye ni mama yenu aliyewazaa nyinyi nyote.
   
 8. M

  Madenge Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Sina pepo lolote lile, ila nimekuwa nikisoma thread nyingi humu ni malalamiko mara kanikimbia mara hanitaki, na wengine wanawakubali watu ili mradi tu. Mimi ni mcha Mungu, ila hivi ikitokea kama Mungu akaweka hiyo option basi kutakuwa na mifarakano mingi tu.
   
 9. M

  Madenge Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Najua kuwa Mungu hafanyi kazi kwa amri za binadamu. Ila nimekuwa nafikiria hivi kama kitu kama hicho kikitokea ni mfano tu...don't take me wrong, just being curious about this...
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ni vizuri unamuona bora kwa kuwa you have a postive attitude towards him. hilo ndo la msingi,
   
 11. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 280
  Weeee naweka panga ole wake mtu amfate mume wangu huo ndo utakua mwanzo wangu wa mauwaji mana ndo ntakuwa nimewah kufika kwa nimpendae halafu sitaki ushambenga lol

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  patriciaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 13. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mh hapo pagumu............
   
Loading...