Siku mikutano itakaporuhusiwa ndipo CCM itakapotambua nguvu ya upinzani

Mfalme mzee mpumbavu asiyejua kupokea maonyo ni magufuli

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Wewe huna cha kumshauri kama huna ushawishi wa kubadilisha hali ndani ya chama chako.

Huoni kamaa wapumbavu ni kina nyinyi ambao mtu anakuongozeni kama mapunda tangu mwaka 2004 mpaka leo hii!!.

Huoni kama nyinyi ni mazuzu kabisa, maana mmeshauzidi hata ule upumbavu, mnaendeshwa kama kondoo walionyweshwa gongo.

Ushauri bora anzeni kwanza kuutoa ndani ya CDM ili iweze kuwa na sura mpya, vinginevyo mtaendelea kuwa SACCOS ya wachache wanaowatumieni nyinyi kama "vichwa" vya kupigia pesa ndefu ya ruzuku.
 
Mkuu,
CCM wanajuwa kwamba wao hawahitaji wanachi kubakia madarakani, wamezuia mikutano ili kupunguza kero la hao wananchi... kwa ufupi wanaona kwamba kwao uchaguzi ni babaisha toto tu!



THAT IS IT. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

UPO SAHIHI SANA MKUU.
 
Back
Top Bottom