Siku mikutano itakaporuhusiwa ndipo CCM itakapotambua nguvu ya upinzani

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,462
2,000
Niliwahi kuandika humu jamvini kuwa, kuzuia mikutano ya hadhara kutainufaisha zaidi kambi ya upinzani kuliko chama tawala.

Leo ni CCM pekee inayozunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara, wapinzani wamezuiwa, wananchi wanawasikia na kuwazoea pengine kuwachoka, sasa wana hamu ya kusikia upande wa pili.

Kujua mikakati ya upinzani ni silaha, utajuaje nguvu ya mpinzani wako kama umezuia mikutano ya hadhara, utajuaje unakubalika kwa kuangalia upande wako tu.

Pamoja na mikutano ya hadhara kuzuiwa vyama vya upinzani havikubweteka, tumeona jinsi vyama vya Chadema na ACT wazalendo vilivyokuwa vikifanya makongamano, mikutano na waandishi wa habari, semina mbalimbali za ndani kwa viongozi na wanachama wake.

IMG_20190223_092422.jpg

Akili zimenolewa zimepumzika vya kutosha tayari kwa mapambano siku mikutano itakapoanza, wenzao kina Polepole akili zitakuwa zimechoka maneno yameisha wataanza kurudia yale yale.

CCM na mgombea wa CCM watambue kuwa kuna takriban watu milioni 8 waliojiandikisha kupiga kura 2015 hawakupiga kura, vile vile itambue kuna kundi kubwa na vijana waliofikisha umri wa kupiga kura ambao 2015 walikuwa na miaka 13,14,15,16 na 17 wako tayari kupiga kura. Hawa wanatakiwa kufikiwa.

Haya makundi yanaweza kuwa na wapiga kura wengi zaidi ya waliopiga kura 2015, wengi wao ni vijana wenye uelewa, kama umezuia mikutano ya hadhara lini utawafikia, kipindi cha kampeni hakitoshi kuwafikia vijana wote na huwa kimetawaliwa na mihemko zaidi ya uhalisia. Kushindwa kufanya hivyo, matokeo yake ni CCM kubaki na kundi la wazee waliozaliwa miaka ya 60, 70 inaowategemea kundi ambalo linazidi kupungua siku hadi siku.

Kwa kuzuia mikutano Chama cha Mapinduzi kimekosa fursa muhimu ya kuijua nguvu ya upinzani, kumjua mgombea wa upinzani siyo kwa jina bali nguvu iliyo nyuma yake. Ni mahesabu haya ndiyo yananifanya niseme, kwenye uchaguzi ujao upinzani utanufaika zaidi na zuio la mikutano ukilinganisha na chama tawala.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,879
2,000
Kuna Mzee amenihakikishia kwamba kuiuwa ccm jukwaani kunahitajika mikutano ya jukwaani ya siku 7 tu
 
wagagagigi

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
546
1,000
Niliwahi kuandika humu jamvini kuwa, kuzuia mikutano ya hadhara kutainufaisha zaidi kambi ya upinzani kuliko chama tawala.

Leo ni CCM pekee inayozunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara, wapinzani wamezuiwa, wananchi wanawasikia na kuwazoea pengine kuwachoka, sasa wana hamu ya kusikia upande wa pili.

Kujua mikakati ya upinzani ni silaha, utajuaje nguvu ya mpinzani wako kama umezuia mikutano ya hadhara, utajuaje unakubalika kwa kuangalia upande wako tu.

Pamoja na mikutano ya hadhara kuzuiwa vyama vya upinzani havikubweteka, tumeona jinsi vyama vya Chadema na ACT wazalendo vilivyokuwa vikifanya makongamano, mikutano na waandishi wa habari, semina mbalimbali za ndani kwa viongozi na wanachama wake.

View attachment 1029920

Akili zimenolewa zimepumzika vya kutosha tayari kwa mapambano siku mikutano itakapoanza, wenzao kina Polepole akili zitakuwa zimechoka maneno yameisha wataanza kurudia yale yale.

CCM na mgombea wa CCM watambue kuwa kuna takriban watu milioni 8 waliojiandikisha kupiga kura 2015 hawakupiga kura, vile vile itambue kuna kundi kubwa na vijana waliofikisha umri wa kupiga kura ambao 2015 walikuwa na miaka 13,14,15,16 na 17 wako tayari kupiga kura. Hawa wanatakiwa kufikiwa.

Haya makundi yanaweza kuwa na wapiga kura wengi zaidi ya waliopiga kura 2015, wengi wao ni vijana wenye uelewa, kama umezuia mikutano ya hadhara lini utawafikia, kipindi cha kampeni hakitoshi kuwafikia vijana wote na huwa kimetawaliwa na mihemko zaidi ya uhalisia. Kushindwa kufanya hivyo, matokeo yake ni CCM kubaki na kundi la wazee waliozaliwa miaka ya 60, 70 inaowategemea kundi ambalo linazidi kupungua siku hadi siku.

Kwa kuzuia mikutano Chama cha Mapinduzi kimekosa fursa muhimu ya kuijua nguvu ya upinzani, kumjua mgombea wa upinzani siyo kwa jina bali nguvu iliyo nyuma yake. Ni mahesabu haya ndiyo yananifanya niseme, kwenye uchaguzi ujao upinzani utanufaika zaidi na zuio la mikutano ukilinganisha na chama tawala.
Mkuu,
CCM wanajuwa kwamba wao hawahitaji wanachi kubakia madarakani, wamezuia mikutano ili kupunguza kero la hao wananchi... kwa ufupi wanaona kwamba kwao uchaguzi ni babaisha toto tu!
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,352
2,000
Kwani katiba inazuia..wapinzani si waende mahakama ya AfCHPR au EACJ
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
12,757
2,000
Niliwahi kuandika humu jamvini kuwa, kuzuia mikutano ya hadhara kutainufaisha zaidi kambi ya upinzani kuliko chama tawala.

Leo ni CCM pekee inayozunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara, wapinzani wamezuiwa, wananchi wanawasikia na kuwazoea pengine kuwachoka, sasa wana hamu ya kusikia upande wa pili.

Kujua mikakati ya upinzani ni silaha, utajuaje nguvu ya mpinzani wako kama umezuia mikutano ya hadhara, utajuaje unakubalika kwa kuangalia upande wako tu.

Pamoja na mikutano ya hadhara kuzuiwa vyama vya upinzani havikubweteka, tumeona jinsi vyama vya Chadema na ACT wazalendo vilivyokuwa vikifanya makongamano, mikutano na waandishi wa habari, semina mbalimbali za ndani kwa viongozi na wanachama wake.

View attachment 1029920

Akili zimenolewa zimepumzika vya kutosha tayari kwa mapambano siku mikutano itakapoanza, wenzao kina Polepole akili zitakuwa zimechoka maneno yameisha wataanza kurudia yale yale.

CCM na mgombea wa CCM watambue kuwa kuna takriban watu milioni 8 waliojiandikisha kupiga kura 2015 hawakupiga kura, vile vile itambue kuna kundi kubwa na vijana waliofikisha umri wa kupiga kura ambao 2015 walikuwa na miaka 13,14,15,16 na 17 wako tayari kupiga kura. Hawa wanatakiwa kufikiwa.

Haya makundi yanaweza kuwa na wapiga kura wengi zaidi ya waliopiga kura 2015, wengi wao ni vijana wenye uelewa, kama umezuia mikutano ya hadhara lini utawafikia, kipindi cha kampeni hakitoshi kuwafikia vijana wote na huwa kimetawaliwa na mihemko zaidi ya uhalisia. Kushindwa kufanya hivyo, matokeo yake ni CCM kubaki na kundi la wazee waliozaliwa miaka ya 60, 70 inaowategemea kundi ambalo linazidi kupungua siku hadi siku.

Kwa kuzuia mikutano Chama cha Mapinduzi kimekosa fursa muhimu ya kuijua nguvu ya upinzani, kumjua mgombea wa upinzani siyo kwa jina bali nguvu iliyo nyuma yake. Ni mahesabu haya ndiyo yananifanya niseme, kwenye uchaguzi ujao upinzani utanufaika zaidi na zuio la mikutano ukilinganisha na chama tawala.
Bahati mbaya kwenu ni kwamba hata hao vijana mnaodhani mpo nao wanawasoma na kugundua kuwa uongozi wenu umejaa sanaa na ubaguzi wa chini kwa chini.

Hao vijana mnaofikiri mmeziteka akili na fikra zao, wanazisoma zile habari za namna wabunge wenu maalum wanavyopatikana kupitia masuala ya ngono, wanazisoma habari za upigaji mkubwa wa fedha za ruzuku.

Jipangeni vinginevyo mwakani 2020 kilio kitakuwa kile kile cha kuibiwa kura.
 
Kwa watu wenye akili timamu wanajua nini kitafanyika kwenye uchaguzi ujao, haitakuwa ajabu kama unavyofikiria.
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,447

Endeleeni kujifariji na ujinga wenu.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
1,567
2,000
Ccm wanajua sana kuwa hawakubariki ndio mana wanategemea polic,usarama na jw.ila cku hao majamaa wakiamua kufata weredi watuachie wananchi wenyewe kuamua yale tuliyoamua ccm wepesi sana.
 
barakamorinho1357

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
294
500
Niliwahi kuandika humu jamvini kuwa, kuzuia mikutano ya hadhara kutainufaisha zaidi kambi ya upinzani kuliko chama tawala.

Leo ni CCM pekee inayozunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara, wapinzani wamezuiwa, wananchi wanawasikia na kuwazoea pengine kuwachoka, sasa wana hamu ya kusikia upande wa pili.

Kujua mikakati ya upinzani ni silaha, utajuaje nguvu ya mpinzani wako kama umezuia mikutano ya hadhara, utajuaje unakubalika kwa kuangalia upande wako tu.

Pamoja na mikutano ya hadhara kuzuiwa vyama vya upinzani havikubweteka, tumeona jinsi vyama vya Chadema na ACT wazalendo vilivyokuwa vikifanya makongamano, mikutano na waandishi wa habari, semina mbalimbali za ndani kwa viongozi na wanachama wake.

View attachment 1029920

Akili zimenolewa zimepumzika vya kutosha tayari kwa mapambano siku mikutano itakapoanza, wenzao kina Polepole akili zitakuwa zimechoka maneno yameisha wataanza kurudia yale yale.

CCM na mgombea wa CCM watambue kuwa kuna takriban watu milioni 8 waliojiandikisha kupiga kura 2015 hawakupiga kura, vile vile itambue kuna kundi kubwa na vijana waliofikisha umri wa kupiga kura ambao 2015 walikuwa na miaka 13,14,15,16 na 17 wako tayari kupiga kura. Hawa wanatakiwa kufikiwa.

Haya makundi yanaweza kuwa na wapiga kura wengi zaidi ya waliopiga kura 2015, wengi wao ni vijana wenye uelewa, kama umezuia mikutano ya hadhara lini utawafikia, kipindi cha kampeni hakitoshi kuwafikia vijana wote na huwa kimetawaliwa na mihemko zaidi ya uhalisia. Kushindwa kufanya hivyo, matokeo yake ni CCM kubaki na kundi la wazee waliozaliwa miaka ya 60, 70 inaowategemea kundi ambalo linazidi kupungua siku hadi siku.

Kwa kuzuia mikutano Chama cha Mapinduzi kimekosa fursa muhimu ya kuijua nguvu ya upinzani, kumjua mgombea wa upinzani siyo kwa jina bali nguvu iliyo nyuma yake. Ni mahesabu haya ndiyo yananifanya niseme, kwenye uchaguzi ujao upinzani utanufaika zaidi na zuio la mikutano ukilinganisha na chama tawala.
Mkuu, CCM ina sehem mbili tuu! Polisi , mahakama na Tume ya taifa ya uchaguzi! Yaani hata CCM wakae bila kufanya mikutano na upinzani waruhusiwe , mwisho wa siku CCM itashinda tuu! Tumeona mifano hai katika chaguzi za marudio upinzani ulivyopigwa 'Kata Funua"..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
12,757
2,000
Kwa watu wenye akili timamu wanajua nini kitafanyika kwenye uchaguzi ujao, haitakuwa ajabu kama unavyofikiria.
Tengenezeni chama sasa, acheni hizi mbwembwe za picha za mikutano. Kuna jinamizi limewakamata, mkiweza kuondokana nalo mtageuka kuwa chama bora na chenye mtazamo unaokubalika kwa kila mtu.
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
12,757
2,000
Endeleeni kujifariji na ujinga wenu.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Mmefanana na huyo mzee mpumbavu, maonyo juu ya siasa za kubebana kifamilia na kidugu yalianza kutolewa pengine kabla wewe haujaingia kwenye siasa, na mpaka sasa yanaendelea kutolewa lakini vichwa vyenu ni vigumu.
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Kwani katiba inazuia..wapinzani si waende mahakama ya AfCHPR au EACJ
Mahakama zitakuwa huku huku barabarani mitaani. Hata CCM nao ni chama cha upinzani. Hii nchi ni lazima tuijenge sote au tuibomoe sote kwa pamoja. Hakuna kuendekeza ujinga wa kusema huyu CCM na huyu mpinzani. Kwa mimi mwananchi vyama vyote ni sawa.
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,447
2,000
Mmefanana na huyo mzee mpumbavu, maonyo juu ya siasa za kubebana kifamilia na kidugu yalianza kutolewa pengine kabla wewe haujaingia kwenye siasa, na mpaka sasa yanaendelea kutolewa lakini vichwa vyenu ni vigumu.
Mfalme mzee mpumbavu asiyejua kupokea maonyo ni magufuli

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom