Kisusi Mohammed JF-Expert Member Aug 10, 2009 563 468 Feb 9, 2010 #2 Ebana hiyo safi sana, jamaa kadandia mkuki! Hahahahahaaaa, mwache akome, utani gani huo wa kunywa kinywaji cha mwenzio!
Ebana hiyo safi sana, jamaa kadandia mkuki! Hahahahahaaaa, mwache akome, utani gani huo wa kunywa kinywaji cha mwenzio!
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,723 Feb 9, 2010 #5 Huh..kumbe hiyo bia naweka sumu!...Mpe yeye ile kitu naitwa masiwa au kikwetu "KOOLE"
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,738 155,424 Feb 9, 2010 #7 Jeni said: Jamani haya bana atleast wengine tumecheka Click to expand... afadhali wewe una mbavu. mi sina mbavu wangu
Jeni said: Jamani haya bana atleast wengine tumecheka Click to expand... afadhali wewe una mbavu. mi sina mbavu wangu