Siku kumi kuelekea uchaguzi mkuu,vyombo vya habari fanyeni hili...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku kumi kuelekea uchaguzi mkuu,vyombo vya habari fanyeni hili......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 21, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  napendekeza badala ya kuwapa wananchi taarifa za mikutano mbalimbali
  ya kisiasa wakati wa taarifa za habari tu na tena usiku,ni vyema vyombo vya habari wakatenga muda wa wiki hii na haswa mchana kwa wale watakaokuwa hawabanwi na majukumu na marudi jioni kuwapa nafasi wale wa makazini,na vipindi vihusishe mtazamo na malengo yao kwa tz ya kesho yenye neema,watu wawapime wagombea wote na kufanya maamuzi sahihi,wito kwa tv zetu za umma na binafsi,taifa letu sote tuwasaidie watu wawajue viongozi watakaotutoa kwenye msiba huu wa umasikini,tuweke uzalendo mbele
   
 2. u

  urasa JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vioindi vyoote vya tamthilia,vichekesho,maigizo na vingine vinavyofanana na hivyo viwekwe likizo na watu waonyeshwe mtazamo na hoja mbalimbali za wagombea ili kufanya maamuzi sahihi.tukumbuke,tukiboronga sasa ni hadi miaka mitano ijayo ndio tutapata nafasi tena kama hii
   
Loading...