Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

Mungu wetu aishiye milele ,Mungu mwenye nguvu, Simba wa Vita akuongezee maisha marefu akupe afya njema na akushindiye vita vyako dhidi ya wadhalimu na mahayawani wanaotaka roho yako. Mungu kawaumbua na atazidi kuwambua nao wataona Baraka za bwana juu yako wakiwa hai.
 
Adui zako na watesi wako wajinga na wapumbavu walitegemea kubadili historia yako ila Mungu wetu akasimama pamoja nawe. Huko waliko baadhi yao wametubu kimya kimya na wengine aibu zimewajaa usoni. Mungu wetu ni mkuu sana na kwa hakika hashindwi kitu. Happy birthday Kamanda Lissu, live long
Mungu amlinde siku zote hakika Tundu Lissu ni mpango wa Mungu
 
Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Shujaa anayeishi, Tundu A. Lissu...Mungu akitupa uhai tutawadithia wajukuu zetu kuhusu huyu jamaa kama tulivyohadithiwa habaribza akina Tuntemeke Sanga enzi hizo!!
 
Back
Top Bottom