Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
[HASHTAG]#KUMBUKUMBU[/HASHTAG] Januari 20, 1968, alizaliwa Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi Mungu ampe maisha marefu, miaka 50 mingine ya kuendelea kutetea wanyonge wa taifa.

Happy Birthday Comrade Tundu Lissu Tanzania need you

Tunamtakia heri, baraka na afya njema.

IMG_20180120_105052.jpg

IMG_20180120_105018.jpg

FB_IMG_1516434799481.jpg

FB_IMG_1516435056795.jpg
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Kaka wa Taifa. Mungu alikuponya na zile risasi kwa makusudi. Ujumbe wangu "The truth will set you free, but first it will make you miserable"...Daudi kabla ya kuja kuwa Mfalme alinusurika kuuawa mara nyingi sana na wakuu wa enzi hizo. Mungu alimlinda usiku kucha na hatimaye wote tunajua historia iliyofuata baadae. Mungu wetu hajawahi kuwa Athumani hata siku moja.
 
Adui zako na watesi wako wajinga na wapumbavu walitegemea kubadili historia yako ila Mungu wetu akasimama pamoja nawe. Huko waliko baadhi yao wametubu kimya kimya na wengine aibu zimewajaa usoni. Mungu wetu ni mkuu sana na kwa hakika hashindwi kitu. Happy birthday Kamanda Lissu, live long
 
Back
Top Bottom