Siku ikitokea apocalypse za mifumo yote duniani kuanzia internet, Apps na n.k

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,712
Tarehe 4-10-2021 tumeona mitandao ya kijamii kuanzia whatsapp, facebook na instagram ndani ya masaa kama 6 kupotea.

Huku mmliki wa mitando mark zuberg kulalamika kupoteza zaidi mabilioni ya pesa.

Watu tunajali matumizi ila kuangalia je ! siku ikatokea kama iliyotokea kwa hao nilio wataja itakuwaje!

mfano ndo kufa kabisa au kukosekana mwaka mzima.

Tuzungumzie database za serikali,benk,mifumo ya kumbukumbu,kazi data za apps,server za app na n.k.

Kuna sinema hii leo nimebidi nirudie tena.

IMG_1031.jpg


inawezekana sinema hizi huwa zinatungwa kwa makusudi kujua kinachoendelea!

angalia hii picha ya pili

IMG_1030.jpg


kwa ufupi kuna usiri uliopo ndani ya nyuma ya dunia
 
Fafanua Ueleweke Vema Mabeberu
Yanajua Yanachofanya Sisi Kutazama Tu
 
Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds.
 
Back
Top Bottom