Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Sometimes mtu hufanya jambo kwa style ya kupima upepo na akiona hakuna resistance basi anaendelea na mpango wake au anakuja na plan B.
Kwa kuzingatia ukweli huu,siku mtu huyu akija na agizo ni marufuku kuandika habari za wapinzani mtashangaa?
Navyowajua watanzania kwa sasa hawawezi kunielewa ila siku ikitoka kauli kama hiyo au yenye maudhui kama hayo ndio mijadala itaanza.
Maumivu ya kichwa huanza polepole.
Nukuu ya leo hapa JF:
"Mabadilko yanapotokea huwakuta wengine wakiwa usingizini na wanaposhituka huwa teyari kumekucha."
Mh.mmoja jana katako kwenye hili kundi baada ya kusoma alama za nyakati.