Siku ikipita bila kuingia JF huwa unajisikiaje wewe?

Hata mchana linaingiaga mkuu!!
Haaaaaaaaaaaaaaaa aiseeeeeeeeeeeeeeee mkuu mimi nilikuwa sijui. Hivi unamwingiziaje vile, hebu nisomeshe kidogo namna ya kumwingizia kwa sababu nimesahau kidogo!
 
Wala sijickii kukosa chochote,jf si mama wala c baba,kuna mods wababaishaj na wazushi,wazandiki na wazabizabina
pamekua kama kijiwe cha kahawa kwa xaxa,
 
Nyeti?
Nyeti...Nyeti......Nyeti.....
Ahaa...unamaanisha nyeti za serikali?yaani kama wanyama pori?????
Mkuu, hebu vua nguo zako zote halafu shika ukuta nikuonyeshe hizo nyeti ili uzifahamu.Utafurahi mwenyewe.
 
mkuu umejuaje asee...toka jana ichi kikompyuta cha mkononi kilinigomea...
nilikua mgonjwa,nilihisi kuna kitu kimepungua bana!umeniwahi kidogo tu nilitaka kuja na uzi kama huo huo...

BAGAH, Niambriee! Inakuaje Chaliiy yangu ? Mbona tunapishanapishana ?
Kitu kama 3 days hatukutana Jamvi hata hivyo makila kitu yako shwari.
 
Wala sijickii kukosa chochote,jf si mama wala c baba,kuna mods wababaishaj na wazushi,wazandiki na wazabizabina
pamekua kama kijiwe cha kahawa kwa xaxa,
Kwa nini usipeleke malalamiko yako kwenye jukwaa la congrats and advice? Kwetu sisi JF inatuongezea siku za kuishi.
 
BAGAH, Niambriee! Inakuaje Chaliiy yangu ? Mbona tunapishanapishana ?
Kitu kama 3 days hatukutana Jamvi hata hivyo makila kitu yako shwari.

Jg ni poa aseee...hainaga mori wala kwikwi...ni fulu yani...naje pande zako jombaa???tunapishana KISE....KISEN.G.E...nahisi tumekua busy asee...mamaa husny yuko njema?
 
Kwa nini usipeleke malalamiko yako kwenye jukwaa la congrats and advice? Kwetu sisi JF inatuongezea siku za kuishi.

nimetoa maon kwa mujibu wa theme ya uzi wenyewe,sion wa kumlalamikia,coz jf si muhimu xana kwangu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom