Siku hizi watu tunahalalisha dhambi

Kitu kinaweza kuwa dhambi kwako lakini kikawa halali kwa mwingine..
kabisa.

kula nguruwe ni dhambi kwa waislam ila halali kwa wakristo.

ni halali kwa wakristo kusema Yesu ni Mungu ila kwa waislamu ni dhambi, mwanadamu hawezi kuwa Mungu.

kwa waislam ni halali kusema kuna majini wazuri na wabaya, kwa wakristo kuamini majini ni dhambi na hakuna majini wazuri kwa maana zote ni roho chafu.

kwa hio dhambi ni tafsiri binafsi tu inayotokana na mazingira mtu aliyokulia. watu wanakosea kwenye kugeneralize mambo. there's no generalization, there's no one answer for all questions. Once u understand that you will live a peaceful life.
 
Kwahiyo hata kula jicho ni halali
Kama ni halali ni kwa kna nan
 
kabisa.

kula nguruwe ni dhambi kwa waislam ila halali kwa wakristo.

ni halali kwa wakristo kusema Yesu ni Mungu ila kwa waislamu ni dhambi, mwanadamu hawezi kuwa Mungu.

kwa waislam ni halali kusema kuna majini wazuri na wabaya, kwa wakristo kuamini majini ni dhambi na hakuna majini wazuri kwa maana zote ni roho chafu.

kwa hio dhambi ni tafsiri binafsi tu inayotokana na mazingira mtu aliyokulia. watu wanakosea kwenye kugeneralize mambo. there's no generalization, there's no one answer for all questions. Once u understand that you will live a peaceful life.
 
Chuki ni dhambi mbaya sana kwangu mimi unaweza ukatenda ilivyo halali pasipo kukiuka mafunzo yoyote kutokana na imani yako ilivyo lkn km una chuki ya kiuonevu kwa binadamu wenzio ni sawa sawa na bure na ipo siku utalipia hilo na kamwe huwezi kuipata furaha hata ungerithishwa ulimwengu mzima

Mfano ni ile habari ya mwana mpotevu alivyotapanya mali ya baba yake hapa alifanya haramu kuwa halali kwake ndugu yake akayaishi mazuri ya baba yake lkn yule mwana muovu aliporudi kwa magoti na kukiri makosa yake kwa baba yake alisamehewa na akabarikiwa zaidi, upande mwingine wa ndugu yake chuki yake ikamea na mwisho wake haukuwa mzuri
 
Ni Mwana yupi alistahili kuangaliwa zaidi na Babaye?
Je ni yule aliyechota sehemu ya mali ya Babaye na kwenda kutapanya na baada ya mali kwisha ndipo akaja kung'amua ya kuwa ametenda kosa au ni yule aliye - remain faithful and stick to his Father all the time?

Na je Baba yao alikuwa sahihi kumbariki zaidi yule mchota mali kuliko yule mkamilifu?

Unafikiri life is always fair?
 
ni nachojua dhambi ni kumtendea mwenzio jambo ambalo wewe hupendezewi kufanyiwa, mfano, kama hupendi tundu lako lichokolewe, basi usiombe tigo, kama hupendi kusemwa basi usisimange, kama hivyo yaani
 
Ni Mwana yupi alistahili kuangaliwa zaidi na Babaye?
Je ni yule aliyechota sehemu ya mali ya Babaye na kwenda kutapanya na baada ya mali kwisha ndipo akaja kung'amua ya kuwa ametenda kosa au ni yule aliye - remain faithful and stick to his Father all the time?

Na je Baba yao alikuwa sahihi kumbariki zaidi yule mchota mali kuliko yule mkamilifu?

Unafikiri life is always fair?
Hakuna mkamilifu Hilo ujue

Huyu mkosaji kwa dhamira ya dhati kabisa alitubu na kuomba radhi kwa baba yake na kwa haki kabisa aliomba afanywe kijakazi pale lkn baba yake akamsamehe na kitendo hicho kikainua chuki ya ndugu yake

Mimi naona alifanya kwa haki kabisa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom