siku hizi wanaume kuvaa suruali za kubana sana,inanichukiza sana

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
japo kila mtu ana haki ya kuamua nini avae siku hizi,lakin wanaume wanaovaa suruali za kubana sana inasikitisha,utakuta mtu anatembea na mchumba wake/mke wake,ukiwaona kwa nyuma uwezi jua nani bibi/bwana,binafsi siwezi ongozana na kijana mwenzangu wa kiume aliovaa suruali ua kubana sana,
sijui nyie wengine mnaonaje?
 
Mbona kwa Arusha ni kitu ya kawaida sana...

Mtu kapiga jeans tite, bonge ya shati na bonge ya buti kwa chini, imechongokaje halafu kichwani boshori na mdomoni anaendelea kusaga gomba yake tertiiibu mkononi kitu ya Arusha inatoa moshi...
 
mbona we ukivaa suruali pana wao hawachukii? ni nani aliyesema hii ni dhambi kuvaa model? maadili unayoyataka ni unafiki maalumu...kaanze kukemea ufisadi, nyau we
 
japo kila mtu ana haki ya kuamua nini avae siku hizi,lakin wanaume wanaovaa suruali za kubana sana inasikitisha,utakuta mtu anatembea na mchumba wake/mke wake,ukiwaona kwa nyuma uwezi jua nani bibi/bwana,binafsi siwezi ongozana na kijana mwenzangu wa kiume aliovaa suruali ua kubana sana,
sijui nyie wengine mnaonaje?

Zamani mbona walikuwa wanavaa za kubana juu na chini inaachia?.....usilete ukoloni hata.
You have to accept changes .
 
Inategemea na shape ya mvaaji bana, kuna men wanavaa hizo wanapendeza kiasi cha kunipotezea concentration mie!!!
 
im short huna exposure hata moja na unatia aibu

wengine wana makalio makubwa,akivaa suruali ya kubana yani sipati picha,aya ni maoni yangu kila mtu kuna kitu anachopenda na kuchukizwa,binafsi siwezi ongozana na rafik yangu amevaa cha kumbana sana,so haya ni maoni yangu binafsi,usinichukie wala kuniponda
 
Pidofio... Kumbe una matamaa yako huko
 
Back
Top Bottom