Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

Tatizo kubwa hapa ni tofauti kubwa ya mshahara kwa watumishi wa serikali moja. Wachache wanalipwa posho ya siku moja kubwa kuliko mshahara wa mwezi wa walio wengi. Hakuna uhalali wa hali hii vyovyote vile.
Ni muhimu kwa serikali kupunguza mishahara, posho na marupurupu mengine ya vigogo waongezewe walalahoi.
Kama tahadhari haitachukuliwa kuna uwezekano wa walalahoi watumishi wa serikali wakafunguka akili zao na kuamua liwalo na liwe, watakaoumia ni vigogo!
Hakuna sababu za kugoma au kusumbuana mahakamani, serikali inawajibika kugawa rasilimali za nchi kwa usawa kwa raia wote, hii ikiwa ni pamoja na mishahara na marupurupu mengine kwa watumishi wake.
Kuna kila dalili sasa kwamba watumishi wachache wanaweza kujilipa vizuri kupitia mhimili, ofisi, wakala au mashirika ya uma wakati walio wengi wana mishahara duni kabisa katika serikali hiyo hiyo. Hali hii inatakiwa iangaliwe upya kwani ndiyo chanzo cha migogoro yote.
BINADAMU WOTE NI SAWA NA TANZANIA NI MOJA!
 
Hiyo habari ya promised land inatokana na Brainwashing Ndugu yangu Tonnyalmeida.

Mimi sitetei Serikali

Mimi natetea haki

Natetea amani

Natetea maendeleo

Haa makame unanishangaza aiseeee... Yani kusema Promised Land Unasema ni Brain wash? Mbona Unajipinga mwenyewe au na wewe pia Unabrain wash? Umekuwa ukisema hapa kwenye uzi wako Ili kupata Huduma Bora Ni kuwawajibisha hao unaowaita mafisadi na umewataja kwa majina (sio mimi) kwa hiyo hzo huduma bora nazo ni brain wash?

Nchi yetu imebarikiwa Raslimali nyingi sitaki hata kuzitaja, kwa nini sisifikirie kama zitatumika vizuri nitakuwa kwenye nchi sio tu nliyoahidiwa kwa sababu ya ufisadi but ni nchi nliyopewa? sikuelewi au Unaanisha nini unaposema Brainwash?

Hiyo mistari minne ya mwisho kwenye majibu yako unaijua mwenyewe sioni sababu za Kuijibu.
 
Tonnyalmeida MKUU

Najua kwanza hujafurahia uamuzi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ajira.

Binafsi sikutaka yafike huko, kwani waungwana wakikaa kitako na kuzungumza ndio njia sahihi zaidi ya kutatua mgogoro.

Sasa kuna hatari ya kuwa wote wakapata hasara. Walimu hawajatekelezewa madai yao; wanafunzi wakakosa masomo. Hili ni janga kubwa.

Nadhani kuna haja ya kujipanga upya na kutafuta njia muafaka ya kuwasilisha madai ili yapatiwe ufumbuzi.

Ni jambo ambalo nililitegemea sio mimi tu na walimu wenzangu bali hata watanzania wenye taaluma nyingine na hili ndilo tulilosea mimi na watanzania wenye mawazo kama yangu.. Mahakama zinatumiwa na serikali na zimejisahau kuwa pia ni Muhimili wa DOLA.. na hili likon wazimkwa sababu majaji ni wateule wa Rais na HII ipo katika saikolojia ya kawaida ya Binadamu lazima kuwepo na CONFLICT OF INTEREST kwa anayekuteua ili umentain Nafasi aliyokupa bahati nzuri walimu tunasoma na saikolojia Pia. HUNA JINSI YA KUNISHAWISHI NIAMINI TOFAUTI NA NINAVYOAMINI.

Sina Uhakima kama ulipenda yafike huku au laaa..

Serikali ndiyo inayopata hasara.. dhumuni letu ilikuwa ni kuomba masilahi ili tutumie mda wote katika maeneo ya Kazi SASA NINAJUA THAMANI YANGU HIVI SIKU NIKIAMUA KUFANYA KAZI NTAFANYA KULINGANA NA THAMANI YA PESA NINAYOLIPYA NA MDA UNAOBAKI NTAKWENDA UTAFUTA PESA KATIKA SHUGHULI NYINGINE

NA MDA WA KUKAA KAZINI KWA MWALIMU KWA SASA NI 1hr ONLY

Tuone anayeingia Hasara Ni nani sasa.

HAO WATOTO MNAOWASEMA WAZAZI WAO NDIO WALOIWEKA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI WAENDE WAKAIWAJIBISHE

SERIKALI=WATU KATIKA NCHI ZA KIDEMOKRASIA

HIYO NJIA MUAFAKA UNAYOISEMA NI IPI? Ilete hapa manake inaonekana unasuluhisho la Maana.
 
Tatizo kubwa hapa ni tofauti kubwa ya mshahara kwa watumishi wa serikali moja. Wachache wanalipwa posho ya siku moja kubwa kuliko mshahara wa mwezi wa walio wengi. Hakuna uhalali wa hali hii vyovyote vile.
Ni muhimu kwa serikali kupunguza mishahara, posho na marupurupu mengine ya vigogo waongezewe walalahoi.
Kama tahadhari haitachukuliwa kuna uwezekano wa walalahoi watumishi wa serikali wakafunguka akili zao na kuamua liwalo na liwe, watakaoumia ni vigogo!
Hakuna sababu za kugoma au kusumbuana mahakamani, serikali inawajibika kugawa rasilimali za nchi kwa usawa kwa raia wote, hii ikiwa ni pamoja na mishahara na marupurupu mengine kwa watumishi wake.
Kuna kila dalili sasa kwamba watumishi wachache wanaweza kujilipa vizuri kupitia mhimili, ofisi, wakala au mashirika ya uma wakati walio wengi wana mishahara duni kabisa katika serikali hiyo hiyo. Hali hii inatakiwa iangaliwe upya kwani ndiyo chanzo cha migogoro yote.
BINADAMU WOTE NI SAWA NA TANZANIA NI MOJA!

Uko sahihi mkuu sasa hapa kunawatu Bado wanadhani kufunika matatizo ndiyo njia ya kuyatatua..
 
Wewe Tonnyalmeida una nini kichwani humo?

1: Asante kwa kukiri wewe ni Dahifu sawa na Serikali Ya Kikwete
2: Kuwa na msimamo is not synonymus na kuwa MBAME.. Na sipendi watu na Serikali ya Kibabe ila napenda watu Na serikali yenye msimamo tena katika mambo ya msingi
3: LIWE LIWALO
 
Kama ndio mumeamua kukomoa mtakomoa tu.

Kwanza walimu kawaida yao; wa kike wanasukana nywele na kuuza maandazi.

Wa kiume wanauza karanga na kukimbilia shughuli nyengine, hio haijaanza leo.

Weewee hujui kuwa kiwango cha ufaulu cha watoto wa Darasa la Saba kimeshuka? hujui kuwa siku hizi kuna watu wanamaliza la saba pasi ya kujua kusoma wala kuandika?

Mie nadhani kama walimu hawataki kazi waache tu, ijulikane hakuna mwalimu basi, mbona kuna shule hazina walimu na inajulikana hivyo?

SULUHISHO ni kukaa mezani na kujadiliana.
hata kama inatakiwa 100% pay rise, basi mnakubaliana over a certain period of time; sio abrupt and sudden. Mnaweza kusema over 3 or 4 years; that is how you bargain.

Ni jambo ambalo nililitegemea sio mimi tu na walimu wenzangu bali hata watanzania wenye taaluma nyingine na hili ndilo tulilosea mimi na watanzania wenye mawazo kama yangu.. Mahakama zinatumiwa na serikali na zimejisahau kuwa pia ni Muhimili wa DOLA.. na hili likon wazimkwa sababu majaji ni wateule wa Rais na HII ipo katika saikolojia ya kawaida ya Binadamu lazima kuwepo na CONFLICT OF INTEREST kwa anayekuteua ili umentain Nafasi aliyokupa bahati nzuri walimu tunasoma na saikolojia Pia. HUNA JINSI YA KUNISHAWISHI NIAMINI TOFAUTI NA NINAVYOAMINI.

Sina Uhakima kama ulipenda yafike huku au laaa..

Serikali ndiyo inayopata hasara.. dhumuni letu ilikuwa ni kuomba masilahi ili tutumie mda wote katika maeneo ya Kazi SASA NINAJUA THAMANI YANGU HIVI SIKU NIKIAMUA KUFANYA KAZI NTAFANYA KULINGANA NA THAMANI YA PESA NINAYOLIPYA NA MDA UNAOBAKI NTAKWENDA UTAFUTA PESA KATIKA SHUGHULI NYINGINE

NA MDA WA KUKAA KAZINI KWA MWALIMU KWA SASA NI 1hr ONLY

Tuone anayeingia Hasara Ni nani sasa.

HAO WATOTO MNAOWASEMA WAZAZI WAO NDIO WALOIWEKA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI WAENDE WAKAIWAJIBISHE

SERIKALI=WATU KATIKA NCHI ZA KIDEMOKRASIA

HIYO NJIA MUAFAKA UNAYOISEMA NI IPI? Ilete hapa manake inaonekana unasuluhisho la Maana.
 
Hio brainwash inatokana na thread niliyokujibu

Maana kuna maneno fulani fulani yakitumiwa mie huwa naona ni siasa tu; na sio original thinking

'Promised Land'

Solidarity forever

'sauti ya wengi ni sauti ya Mungu'

Hizo sloganz ni za siasa. na wewe ukizitumia maanake ushakuwa brainwashed.

KUBALI AU UKATAE NDIO HIVYO; tena eti kuna sehemu unajipakazia unaitambua saikolojia; ila hilo la brainwashing hujataka kulijua

Haa makame unanishangaza aiseeee... Yani kusema Promised Land Unasema ni Brain wash? Mbona Unajipinga mwenyewe au na wewe pia Unabrain wash? Umekuwa ukisema hapa kwenye uzi wako Ili kupata Huduma Bora Ni kuwawajibisha hao unaowaita mafisadi na umewataja kwa majina (sio mimi) kwa hiyo hzo huduma bora nazo ni brain wash?

Nchi yetu imebarikiwa Raslimali nyingi sitaki hata kuzitaja, kwa nini sisifikirie kama zitatumika vizuri nitakuwa kwenye nchi sio tu nliyoahidiwa kwa sababu ya ufisadi but ni nchi nliyopewa? sikuelewi au Unaanisha nini unaposema Brainwash?

Hiyo mistari minne ya mwisho kwenye majibu yako unaijua mwenyewe sioni sababu za Kuijibu.
 
Mwenyewe umesema hakuna sababu kugoma.

Kwanini msitumie busara za majadiliano?

Mimi siamini kuwa majadiliano yameshindwa; naamini CWT imeishiwa ideas na ubunifu

Tatizo kubwa hapa ni tofauti kubwa ya mshahara kwa watumishi wa serikali moja. Wachache wanalipwa posho ya siku moja kubwa kuliko mshahara wa mwezi wa walio wengi. Hakuna uhalali wa hali hii vyovyote vile.
Ni muhimu kwa serikali kupunguza mishahara, posho na marupurupu mengine ya vigogo waongezewe walalahoi.
Kama tahadhari haitachukuliwa kuna uwezekano wa walalahoi watumishi wa serikali wakafunguka akili zao na kuamua liwalo na liwe, watakaoumia ni vigogo!
Hakuna sababu za kugoma au kusumbuana mahakamani, serikali inawajibika kugawa rasilimali za nchi kwa usawa kwa raia wote, hii ikiwa ni pamoja na mishahara na marupurupu mengine kwa watumishi wake.
Kuna kila dalili sasa kwamba watumishi wachache wanaweza kujilipa vizuri kupitia mhimili, ofisi, wakala au mashirika ya uma wakati walio wengi wana mishahara duni kabisa katika serikali hiyo hiyo. Hali hii inatakiwa iangaliwe upya kwani ndiyo chanzo cha migogoro yote.
BINADAMU WOTE NI SAWA NA TANZANIA NI MOJA!
 
Kama ndio mumeamua kukomoa mtakomoa tu.

Kwanza walimu kawaida yao; wa kike wanasukana nywele na kuuza maandazi.

Wa kiume wanauza karanga na kukimbilia shughuli nyengine, hio haijaanza leo.

Weewee hujui kuwa kiwango cha ufaulu cha watoto wa Darasa la Saba kimeshuka? hujui kuwa siku hizi kuna watu wanamaliza la saba pasi ya kujua kusoma wala kuandika?

Mie nadhani kama walimu hawataki kazi waache tu, ijulikane hakuna mwalimu basi, mbona kuna shule hazina walimu na inajulikana hivyo?

SULUHISHO ni kukaa mezani na kujadiliana.
hata kama inatakiwa 100% pay rise, basi mnakubaliana over a certain period of time; sio abrupt and sudden. Mnaweza kusema over 3 or 4 years; that is how you bargain.

1: Ni kweli wameanza wao kutukomoa na sisi tunamalizia Ndomana hata wewe umetumia kauli ya kukomoa ya LIWALO NA LIWE na sisi tuka jibu LIWE LIWALO

2: Hujakosea kabisa na hata mimi nina maduka mjini na sasa ndio mda wa kwenda kusaini na kwenda kutafuta pesa town mapema.. wawe wanauza maandazi au pipi zote hizo ni njia za kujiongezea kipato ndio maana tuliomba tuongezewe ili tukae shuleni mda wote lakini muajiri katupuuza kwa kujifanya anatumia vyombo vya dola..
Unategemea mtumishi aishi vipi kwa Tsh 200,000 kwa mwezi wakati mfumko wa bei ni 19%?
BORA WALIMU TUNAOUZA KARANGA, KUSUKA NYWELE NA PIPI LAKINI TUNAPATA KIPATO HALALI KULIKO NYINYI MNAOPATA VIPATO KWA KUKANDAMIZA HAKI ZA RAIA WENU

3:Nafahamu sana tena pengine hujui hata idadi kamili nimewahi kufundisha darasa ambalo 39% hawajui kusoma kabisa NA HAYO NDIYO MATOKEO YA KIBURI CHA SERIKALI NA KUANZIA MWAKA HUU HALI ITAKUWA MBAYA ZAIDI:
 
4: Wanaokula pesa zetu na kufanya uzembe hawataki kujiuzulu kama akina mwinyi enzi za mabomu ya mbagala, Mponda kwa mgomo wa madaktari mwakyembe mv spagit ije kuwa walimu Tunaodai haki zetu? HAJIUZULU MTU HAPA ILA CHA MOTO WATAKIPATA NA NDIO WATAKAPOJUA WANACHI NDO SERIKALI.. WANAPOKUJA KUOMBA KURA HUWA WAPOLE WAKISHAINGIA MADARAKANI WANAKUWA WABABE

5: ahahahahaaaa, unachekesha sana eti kaeni mezani hata miaka 3 au 4 ila sio abrupt.. Yani matatizo ya walimu yameanza toka uhuru leo unasema ni abrupt? ni mara ngapi umewahi kusikia migogoro ya walimu ya mishahara kupandishwa vyeo na malimbikizo? Aisee hivi wewe kweli ni mtanzania make kuna Post nlokuliza na hujajibu? na kama ni mtanzania unaishi hapa nchini? Na hata kama unaishi nje hivi huwa japo unafatilia hata kwenye internet mambo ya taifa hili?:

KWA SERIKALI MAKINI HAIHITAJI WATU WAOMBE NDIPO UTATUE UNAPASWA KUJUA MAHITAJI YA RAIA WAKO NA KUTATUA

MAZUNGUMZO YAMETOSHA NA MAJIBU SASA MTAYAONA.
 
Hio brainwash inatokana na thread niliyokujibu

Maana kuna maneno fulani fulani yakitumiwa mie huwa naona ni siasa tu; na sio original thinking

'Promised Land'

Solidarity forever

'sauti ya wengi ni sauti ya Mungu'

Hizo sloganz ni za siasa. na wewe ukizitumia maanake ushakuwa brainwashed.

KUBALI AU UKATAE NDIO HIVYO; tena eti kuna sehemu unajipakazia unaitambua saikolojia; ila hilo la brainwashing hujataka kulijua

!: Makame huo ndio mtazamo wako na hakuna fact hapo na kama ni mtazamo tuu huna sababu ya kutaka kutuaminisha na sisi kuwa mtu anaposema hizo kauli anaznungumza siasa... By the way HOW DO U DEFINE POLITICS? usije kuta wewe mwenyewe ni Politician

2: nagoja nikukumbushe hili kama hujamfahamu mtu vizuri ni vema usimhukumu kwa Hisia zako,,, Eti ninajipakazia well unaruhusiwa kuamini hivo lakini hilo halibadilishi hivi nilivyo.

MY TAKE: I GUESS UPO KAZINI... ENDELEA NA KAZI ILA FIKISHA UJUMBE KUWA KUNAWATANZANIA AMBAO WANAUELEWA WA KUTOSHA NA HAWAHITAJI KUYUMBISHWA.. WAELEZE KABISA UKUBWA WA KAZI WALIYONAYO KWA SASA.
 
Wewe Tonnyalmeida una nini kichwani humo?

Kimejaa Uelewa wa mambo ndio maana najibu Hoja zako mstari kwa mstari Bila dhiihaka wala Kebehi.

Najua unatamani kunifahamu kwa undani ukuhtaji nambie nikutumie anuani yangu kamili na namba za simu

NASUBIRI MAJIBU YA HOJA ZANGU NYINGI TU NLIZO KUULIZA NA HUJAJIBU.. UKIONA MJADALA UMETOSHA UTANAMBIA TUFUNGE
 
Kwa kuwa naona Mahakama inatoa maelekezo lakini wanayapinga. Au ndio chachu ya kusema nchi isitawalike?

  1. Madaktari --hawakuheshimu maamuzi halali ya mahakama;
  2. Walimu ----- wamesema hawatoheshimu.

kitendo cha kwenda kinyume na amri za mahakama sio ishara njema, na kitatufanya tuwe kama majahili. hatuna majadiliano, hatuna heshima, hatujui mamlaka wala hatuna ustaarabu.

Tuheshimu MAHAKAMA

Unaongea hivi kwa kua baba yako alikusomesha shule nzuri, unatibiwa kwa private card insurance, na alikufanyia mpango ukapata kazi nzuri. Otherwise u must be insane......!
 
Mwenyewe umesema hakuna sababu kugoma.

Kwanini msitumie busara za majadiliano?

Mimi siamini kuwa majadiliano yameshindwa; naamini CWT imeishiwa ideas na ubunifu

1: Hujamalizia kauli ya lebabu11... Kasema hakuna sababu ya kugoma kama serikali ingewajibi ka kugawa rasilimali za nchi kwa usawa.. sasa imeshindwa kwa nini watu tusigome? narudi wewe ni Mtanzania kweli? napata shida kukuelewa..

2: usipotoshe watu majadiliano yameanza siku nyingi sana na nimeshakujibu unataka yafanyike kwa miaka mia ndio uelewe majadiliano yameshindikana?

3: Hiyo ni imanin uliyonayo wewe na Usitake kutushawishi tuamini kama wewe unavyoamini.. Mimi na Walimu wenzangu tunaamini CWT pado inaviongozi creative ambao kwa kipindi hiki serikali imeshindwa kuwainfiltrate kama kawaida yao.

HAKUNA KUONGEA TENA SASA SUBIRINI MATOKEO MTAYAONA.. UVUMILIVU UNAKIKOMO MKUU...
 
Mwenyewe umesema hakuna sababu kugoma.

Kwanini msitumie busara za majadiliano?

Mimi siamini kuwa majadiliano yameshindwa; naamini CWT imeishiwa ideas na ubunifu

Makame,

Nimetoa maoni kama mtanzania na wala mimi siyo mwalimu. Ningependa sana serikali na walimu watumie busara ya majadiliano kuliko kutunishiana misuli.
Imani yangu ni kwamba busara ikitumika, tukawa na mtazamo wa kujali jamii nzima ya watanzania kivitendo na wala siyo maneno matupu, migomo na misuguano haitakuwepo.
Pasipo haki siku zote matokeo ni vurugu na ndicho tunakiona sasa! something is wrong somewhere, we must rectify by all means!
 
Tonnyalmeida niombe radhi.

Mimi napata kipato kwa kumkandamiza nani?

Mimi sili rushwa

Mimi sipandi V8

Mimi sina entertainments and the stuff.

I toil; so hard.

Ni kweli kipato cha 200000 ni unrealistic mijini.

ILA

Mnapokomoa; huwa mnakomoa innocent lives ambazo jamii ime entrust kwenu

Ndio tatizo la kutanguliza maslahi binafsi kabla ya taifa

1: Ni kweli wameanza wao kutukomoa na sisi tunamalizia Ndomana hata wewe umetumia kauli ya kukomoa ya LIWALO NA LIWE na sisi tuka jibu LIWE LIWALO

2: Hujakosea kabisa na hata mimi nina maduka mjini na sasa ndio mda wa kwenda kusaini na kwenda kutafuta pesa town mapema.. wawe wanauza maandazi au pipi zote hizo ni njia za kujiongezea kipato ndio maana tuliomba tuongezewe ili tukae shuleni mda wote lakini muajiri katupuuza kwa kujifanya anatumia vyombo vya dola..
Unategemea mtumishi aishi vipi kwa Tsh 200,000 kwa mwezi wakati mfumko wa bei ni 19%?
BORA WALIMU TUNAOUZA KARANGA, KUSUKA NYWELE NA PIPI LAKINI TUNAPATA KIPATO HALALI KULIKO NYINYI MNAOPATA VIPATO KWA KUKANDAMIZA HAKI ZA RAIA WENU

3:Nafahamu sana tena pengine hujui hata idadi kamili nimewahi kufundisha darasa ambalo 39% hawajui kusoma kabisa NA HAYO NDIYO MATOKEO YA KIBURI CHA SERIKALI NA KUANZIA MWAKA HUU HALI ITAKUWA MBAYA ZAIDI:
 
Sawa kabisa Lebabu11

Tatizo kubwa ni Rushwa; tena hata kwa wale tuliowaamini watatetea.

Imagine Tshs 3,000,000,000,/= kila mwezi kwa ajili ya mafuta ya Tanesco zinaliwa na wajanja.]

Hili halikubaliki

Back
Top Bottom