Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,060
- 11,107
Ndugu wanasubiri anguko lako,washangilie
Sio mbaya sana lakini hajafikia kiwango cha kuridhisha. Elimu ni elimu bwana, Asikwambie mtuHii imenitoa chozi...hali yake uko alikoolewa vip?
Nnmmnmmntarudi
Mpoki mjinga eti anasemaga ukiona mzazi kazaa watoto kuanzia 6-10, huyo si mzazi bali ni mfugajikuna watu wanashangaa kusikia kuna unafki kwenye ndugu wa tumbo moja, jamani yapoo tena saaaaana hasa kunapokuwa na matabaka ya walionacho sana na wasionacho hapo ni kasheshe, nimeyaona mie. Na tatizo mkiwa mmezaliwa wengi,unakuta labda mpo 9 au 10 wa tumbo moja lakini mkiwa wachache mfano 3 au 4 hali huwa shwari. Nakuna familia zingine wote hali zao za kuunga unga tu lakini uuuuwi ni mabifu yasioyoisha kulogana yaani balaa tupu. Kama hujayaona au hayajakukuta mshukuruni sana Mungu
Hasa familia tajiri wanajali sana koo zao watu kama familia ya kifalme UK na Rothschildren, hata hapa Tanzania kama huna hela huwezi kuona ndugu ila ukiwanazo watakujali na kukutembelea vizuri sana.Hivi nchi zilizoendelea kama US wana maswala ya ukoo? Sijui shemeji yake mjomba, bibi yake binamu na kaka yake shangazi?
Yani mnakutana msibani watu 1000 wote ndugu.