Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

hahaaaaaaa nimecheka saaana khaaaa maisha haya
ila mungu mwema kwa kweli alitenda
maaana hela ilikuwa haitumwi hata uwe na maralia lazima uifate na ukuni juu kushusha joto
Hahahahah nimecheka hadi nimepaliwa. Yani mgonjwa unapata kwanza dozi afu ndo hela ya kwenda hospitali. Aaah watu hawana huruma jamani khaaa
 
Sasa wewe Atoto ukiomba pesa unataka upewe hapo hapo bila kulipia LUKU,mwisho wake utakuja kuwa mama wa kanisani tu yaani mlokole,huoni hiyo itakuzeesha? coz mshedede hukusababishia kuwa na ngozi nyororo,mvuto,furaha na kinga dhidi ya saratani ya matiti na uke,sababu manii hukuingia katika sistem na ku flush sumu yoote ilio mwilini,.
khaaaah!! huu uongo naomba watoto wasiusome walah!!
 
Mungu tunamwomba kwa sababu yeye ndie muumbaji na mwokozi. Lakini mwanaume unaemwomba cyo muumbaji wala mwokozi, ni mtu km wewe tu ambae ataamua ugaramie unachoomba
tunawaomba maana nyie ni wanaume, hope you know the meaning of that. nyie nanyi mbona ni omba omba wazuri tu, au unajisahaulisha!!!
 
Hahahahahaha pimbavu kabisa hata Mimi Ndio ninavyofanya sasa Hivi, ndio nawakomesha balaa. Ukija nakuonesha sms Feki ya Mobile banking offline.... Ubaya Ubaya tu kwanza mwezi mtukufu huu
sasa mara unakomeshea mara mwezi mtukufu, which is which??
 
Unayemwomba akutumie pesa itakuwa unamwamini sana, kwanini usite kwenda kuchukua? Kama unataka kuchuma usipopanda usiende! Wenzio wataenda.... acheni sitaki nataka..... kama unaogopa risk basi mwombe pesa kaka/baba/mama/mlezi/dada/ bibi/babu...nk... yanini umuombe mtu usiye na imani naye?.... Juwa kwamba BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA.... Njoo uchukue hiyo hela GETO
acha roho mbaya, kwanini nimuombe baba au kaka yangu wakati wewe upo? we tuma tu hela bwana we.
 
Hahahaha hapana chezea bepari la kinyaki, muniwacheeeee
Bonus tuuuuuuuuu

Pole yao hao wanaokutana na hayo maswaibu. Sema me nahisi hawa wanakuwa na mapenzi ya kimwendokasi, Kila mtu mjanja ndo maana wanakomoana/ kuviziana fulani. Watu wenye mahusiano serious, hadi akwambie uzifuate basi ni kweli kuna necessity ya kuzifuata na ukifika unapewa tu bila conditions. Akikumiss si anasema tu njoo na unaenda tu kiroho safi
huwa nakupendea hapo tuuu hehehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom