Siku hizi ukinunua vitu hivi lazima uingie jikoni mwenyewe

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,272
29,876
SIKU HIZI UKINUNUA VITU HIVI LAZMA UINGIE JIKONI MWENYEWE

asali
ukwaju
unga wa dengu
parachichi
matango
vitunguu maji
viazi
ndimu
limao

KWANINI UFANYE HIVYO?


wanawake wamegundua kwamba vitu hivyo ni dawa ya chunusi,makovu na weupe.
kidume unakaa ukumbini unasubiri badia ushushie na juice ya parachichi unakuta mwenzio kajipaka usoni


SHKAMOONI WANAWAKE

Kiviere Wa Usangi
 
3f7cef74bbfc569149edea62b3b850c5.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom