Siku hizi ukinunua vitu hivi lazima uingie jikoni mwenyewe

  • Thread starter Ambiele Kiviele
  • Start date

Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
13,994
Likes
25,223
Points
280
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
13,994 25,223 280
SIKU HIZI UKINUNUA VITU HIVI LAZMA UINGIE JIKONI MWENYEWE

asali
ukwaju
unga wa dengu
parachichi
matango
vitunguu maji
viazi
ndimu
limao

KWANINI UFANYE HIVYO?


wanawake wamegundua kwamba vitu hivyo ni dawa ya chunusi,makovu na weupe.
kidume unakaa ukumbini unasubiri badia ushushie na juice ya parachichi unakuta mwenzio kajipaka usoni


SHKAMOONI WANAWAKE

Kiviere Wa Usangi
 
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
4,284
Likes
4,657
Points
280
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
4,284 4,657 280
Hahaaaaa tumetofautiana mie nawaza tumbo kwanza
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
4,344
Likes
4,199
Points
280
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
4,344 4,199 280
Jamani Joseverest yuko wapi?
Mtafte comment ya kwanza kwenye nyuzi mpya, uzi huu kachelewa seat. Hawez panda uzi wenye seat za nyuma
 

Forum statistics

Threads 1,215,561
Members 463,281
Posts 28,552,900