Siku hizi sina hamu ya kujihusisha kimapenzi na mwanamke yeyote, hivi hii ni kawaida au?

Mbwa weweweee
okoyoko,
Hapo kuna mawili, umri umesonga sana au kuna dem kakupiga kitu.

CHA kufanya sasa; rahisi mnooo;
tafuta tundu la choo cha shimo, damka alfajiri na mapema paka majivu ya jikoni kwenye nyayo zako, na weka x kwenye paji la uso, tembea ukiwa peke yako kuelekea shimo lilipo! inamia tundu lile ning'iniza mdomo wako pale tunduni, kuna harufu lkn ni dawa. tamka majina ya wapenzi wako wote unao hisi ni vigagula sema hivi '' mniache mimi niwe salama hizi dawa mlofanya dhidi yangu ziwe zenu wenyewe kwa mlofanya''

Baada ya hili zoezi kukamilika utaona maajabu atakaye kuja wa kwanza kuomba mchezo kwako tambua ndo huyohuyo, yuko nyuma ya picha nzima, mfanye tu km kawaida halafu shahawa zenu tumbukiza kwenye kichuguu cha zamani/ kizee! pale kuna dalili pia zitaonekana baada ya siku tatu.

niliwahi kuwa mganguzi/mchawi. nayajua haya mambo sana!
 
Write your reply...mmmh, ukikutana na wale malaya wa mafiati, lazima wakunase, maana ni wazuri sana, afu ni wapya kila siku, kuna dada ni big mom pale, matako hayo meupe peee, anajiita.. Annah, duh lazima akunase ukiongea nae tu

Mafiati ndo wapi uko
 
Back
Top Bottom