Siku hizi Rais Magufuli amekuwa mpole. Ni bora zaidi akiwa hivi

Kwanini aendelee kuwa mkali wakati ameshamaliza kazi. Sasa hivi upinzani umeuawa kabisa, atakuwaje mkali, hakuna mtu anayegombesha kitu kilichokwisha kuuawa. Sasa ni chama kimoja tu ndio kimesalia kinawika.
 
Nimemfuatilia kwenye masuala mengi yanayotokea nchini hivi karibuni na kuona namna ambavyo ameyahandle. Hakika amebadilika.

Siye yule mkali, mkorofi na mwenye maamuzi magumu ya haraka haraka. Hata kesi dhidi ya watu wanaomkejeli zimepungua.

Now he is acting very presidential. Hajihusishi tena na kuongelea mambo madogo madogo. Ameamua kuwapa nafasi wasaidizi wake kuchukua hatua huku yeye akisimamia matokeo tu.

Nampongeza kwa uungwana na hekima hii. Ni bora zaidi akiwa hivi.
Mambo madogo unayozungumzia ni yapi maana:

- Shaffih Dauda na MC Luvanda wamekaa MAHABUSU BILA DHAMANA WIKI MBILI kwa kosa la KUMILIKI YouTube Chanel.

- Unayajua maagizo anayoyatoa OFF MEDIA ?
 
Utakuwa humjui Magufuli vizuri
 
Mambo madogo unayozungumzia ni yapi maana:

- Shaffih Dauda na MC Luvanda wamekaa MAHABUSU BILA DHAMANA WIKI MBILI kwa kosa la KUMILIKI YouTube Chanel.

- Unayajua maagizo anayoyatoa OFF MEDIA ?
Duuh ndg zetu wataishia jera kama si kupotea ktk mazingira ya kutatanisha!.
 
Nimemfuatilia kwenye masuala mengi yanayotokea nchini hivi karibuni na kuona namna ambavyo ameyahandle. Hakika amebadilika.

Siye yule mkali, mkorofi na mwenye maamuzi magumu ya haraka haraka. Hata kesi dhidi ya watu wanaomkejeli zimepungua.

Now he is acting very presidential. Hajihusishi tena na kuongelea mambo madogo madogo. Ameamua kuwapa nafasi wasaidizi wake kuchukua hatua huku yeye akisimamia matokeo tu.

Nampongeza kwa uungwana na hekima hii. Ni bora zaidi akiwa hivi.
Amepata experience mkuu.Hii ni kawaida,si unajua hakupitia ubalozi,udiwani,
uenyekiti wa kijiji wala ukatibu tarafa?
 
Tangu aanze kuongea kaongea nini cha maana zaidi ya FYATUAAAAAAAA
Duh sikatai kuwa kuna muda anatema pumba zake....lakini siamini kuwa hakuna sehemu ambayo anakosa kupata pongezi

Kupinga sikatai kupo na ni sehemu yakoonyesha udhaifu ulipo...lakini si vyema hata yale yaliyo mazuri tukapinga

Taifa nila kwetu sote na wala si busara kuleta ushabiki kama wa kwenye mpira
 
Taja penye pongezi tuone kama panastahili
 
Nimemfuatilia kwenye masuala mengi yanayotokea nchini hivi karibuni na kuona namna ambavyo ameyahandle. Hakika amebadilika.

Siye yule mkali, mkorofi na mwenye maamuzi magumu ya haraka haraka. Hata kesi dhidi ya watu wanaomkejeli zimepungua.

Now he is acting very presidential. Hajihusishi tena na kuongelea mambo madogo madogo. Ameamua kuwapa nafasi wasaidizi wake kuchukua hatua huku yeye akisimamia matokeo tu.

Nampongeza kwa uungwana na hekima hii. Ni bora zaidi akiwa hivi.
Hujaweka namba ya simu mkuu.
 
Sasa yupo another level, snatching, kidnapping, killing his critics and matajiri, sasa watu wanafanywa chochote, popote.
 
Upole upi uo? mbona mambo sesitive jamaa hayafanyii kazi?

Mwambie aongelee utekaji na watu kupigwa risasi kama ana ubavu
Kule Tarime OCD alitumwa na wafanyabiashara wakubwa wa madini akaenda kuwapiga wachimbaji wadogo wadogo masikini wanyonge kisha kuwabambikia kesi ili pindi wakiwa jela matajiri wanatumia fursa kuwaibia madini kisha kugawana na OCD, RPC na DC lakini mpaka leo magufuli hajawatumbua anawaogopa kama ambavyo humuogopa Bashite
 
Back
Top Bottom