Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

Come to think of it..........Hivi huwa wanafanya makusudi? Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa? au wanabambikiwa na kina dada?
kuna wanaopata bila kupanga(HAWA MIMI SIWAJADILI)
kuna wanaobambikiwa na mabinti(HAWA KWAKWELI NI KAMA HAWAPO)

NINAOWAZUNGUMZIA MIMI;ni wale wapenzi wanaoplan marriages.wengi wengi wengi sana huwa wanahakikisha mwanamke ana mimba ndipo waanze mchakato wa ndoa takatifu!....(kwenye hili mimi siongei kwa uzoefu wa vitabuni,NAH!NINAYAONA)....nimeenda semina ya ndoa NIMEYAONA.
 
Mj1 kula tano. yani umenena. Watu huwa wanafunga ndoa kwa shinikizo la Mimba siku hizi.Wanakuwa hawajapanga,ila ikiingia ,no way out ndoa lazima ifungwe.
ZD ndio maana nikasema na sisi nasi tumezidi kujirahisi- mtu anaamua kumpa, na mbaya zaidi anampa yote matokeo yake anachukua na tumbo!! mi huwa natamani niwachape fimbo pale madhabahuni!!

Sijui nini kifanyike- makanisa yakemeeje hapo ili maadili yetu yarudi!
 
hizi ndoa HUWA CHUNGU SANA TENA SANA!...kama utalifikiria hili IN THREE DIMENSION.watu wa aina hii ndio wanaosababisha/wanaosimulia UCHUNGU WA NDOA!mtu analazimisha ndoa kwasababu tu ameshika mimba...!
 
Come to think of it..........Hivi huwa wanafanya makusudi? Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa? au wanabambikiwa na kina dada?

1.Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa

2.
au wanabambikiwa na kina dada?

Kwangu hayo yote ni sahihi,

Ila sasa hilo la pili kwa siku hizi linaonekana kushika kasi, I would say kubambikiwa kwa maana ya kutegeshewa ili anase aolewe na sio ile kubambikiwa mimba isiyo yako japo nalo hili ni possibility especially kama ni "slow lena' kama jofu!

MJ1 hujambo bibie?
 
Jamani hivi ukipata mimba kabla ya ndoa si ni uzinifu?Na ili usipate mimba si inabidi usizini? Mbona sex na mimba ni vitu mapacha kama tulivyo mimi na wewe mchumba?
Mbona mada inajieleza zaidi.Watu wanafunga ndoa wakati tayari wajawazito jambo linaloonyesha kuwa walikuwa wanazini.
Nijuavyo mimi watu huwa wanatest vitu vingine kabisa kwenye sex kabla ya ndoa.mtoto huwa inatokea tu njiani

Hapo sikubaliani na wewe kabisa! Kwangu mimi Sex kwa binadamu ni pleasure! Mi nimesex na mke wangu zaidi ya miaka mitano sasa hajapata ujauzito. Lakini huko nyuma tulipoamua kupata mtoto tulikubaliana, mwezi mmoja baadaye akanambia kitu tayari! Ujauzito, ukiondoa bahati mbaya au uzembe ni makubaliano, lakini sex ni kutimiza matamanio ya mwili!

Hapa tunaongelea MIMBA siyo SEX! Please tusiende ofu topik!
 
kuna wanaopata bila kupanga(HAWA MIMI SIWAJADILI)
kuna wanaobambikiwa na mabinti(HAWA KWAKWELI NI KAMA HAWAPO)

NINAOWAZUNGUMZIA MIMI;ni wale wapenzi wanaoplan marriages.wengi wengi wengi sana huwa wanahakikisha mwanamke ana mimba ndipo waanze mchakato wa ndoa takatifu!....(kwenye hili mimi siongei kwa uzoefu wa vitabuni,NAH!NINAYAONA)....nimeenda semina ya ndoa NIMEYAONA.

Kwa ufafanuzi huu sasa mwelekeo wa mada na ubadilike.

Kama wapo (mie sijaona) kweli je huwa wanadiscuss na wapenzi wao kuwa hadi ubebe mimba ndo nitaanza taratibu za ndoa au huwa anaamua kimya kimya huku akisubiri mwanadada ujae tumbo?!! All in all still bado ni uzinifu dini zetu haziruhusu

Kuna mtu mmoja anayo signature inasema usianike upumbavu wako au ufiche upumbavu wako kitu kama hicho sijui ni nani kati ya Max na Invisible.

Huyu anayesubiri mpenziwe ajae tumbo ndo atangaze ndoa anauanika upumbavu wao mbele za watu!!
 
Na hilo linasababishwa na increased level ya Uncertainty kuhusu uwezo wa wanawake kupata ujauzito, in the wake of increased and encouraged abortions and mis use of family planning drugs......
 
ZD ndio maana nikasema na sisi nasi tumezidi kujirahisi- mtu anaamua kumpa, na mbaya zaidi anampa yote matokeo yake anachukua na tumbo!! mi huwa natamani niwachape fimbo pale madhabahuni!!

Sijui nini kifanyike- makanisa yakemeeje hapo ili maadili yetu yarudi!
Yah ,ni kweli tunayataka wenyewe,tena huwa tunafurahia kabisa.Imekuwa kama ni fasheni cku hzi, hata wazazi wanasapoti.
Na hali ilivyo sahizi hakuna dawa hivi karibuni.Tutegemee watu kujifungulia madhabahuni huko mbeleni,Tatizo HOFU YA MUNGU hakuna.
 
1.Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa

2.au wanabambikiwa na kina dada?

Kwangu hayo yote ni sahihi,

Ila sasa hilo la pili kwa siku hizi linaonekana kushika kasi, I would say kubambikiwa kwa maana ya kutegeshewa ili anase aolewe na sio ile kubambikiwa mimba isiyo yako japo nalo hili ni possibility especially kama ni "slow lena' kama jofu!

MJ1 hujambo bibie?
mwanamke asiposhika mimba MWANAUME HAFIKIRII KABISA NDOA!ndio maana kuna wakati mwanamke analazimisha ashike mimba ILI AOLEWE.

NARUDIA:ANALAZIMISHA ASHIKE MIMBA ILI AOLEWE
LAKINI WANAUME HAWAFIKIRII NDOA TU!WAPO CONCERNED NA WATOTO/FAMILY
 
Na hilo linasababishwa na increased level ya Uncertainty kuhusu uwezo wa wanawake kupata ujauzito, in the wake of increased and encouraged abortions and mis use of family planning drugs......
You got it right pal!
 
Hapo sikubaliani na wewe kabisa! Kwangu mimi Sex kwa binadamu ni pleasure! Mi nimesex na mke wangu zaidi ya miaka mitano sasa hajapata ujauzito. Lakini huko nyuma tulipoamua kupata mtoto tulikubaliana, mwezi mmoja baadaye akanambia kitu tayari! Ujauzito, ukiondoa bahati mbaya au uzembe ni makubaliano, lakini sex ni kutimiza matamanio ya mwili!

Hapa tunaongelea MIMBA siyo SEX! Please tusiende ofu topik![/QUOTE]

Haya nimeacha kwenda ofutopiki
 
jamani haya yote ni madhara ya kuvunjika kwa maadili kwani unakuta mwanamke anayekubali kufanya kabla ya ndoa tayari si mwaminifu unakuta ndoa nyingi zinafungwa zinakuwa si watu wawili wanaunganishwa kuwa mwili mmoja bali ni watu watatu mwingine tumboni yani watu wanamtania mungu kweli

Mungu wetu ni MUNGU mwenye huruma na upendo, na always kuna furaha Mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja kurudi kundini

Kufunga ndo ni namna mojawapo ya kuwarudisha kundini hao 'wazinifu' the way u put it here!
 
1.Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa

2.au wanabambikiwa na kina dada?

Kwangu hayo yote ni sahihi,

Ila sasa hilo la pili kwa siku hizi linaonekana kushika kasi, I would say kubambikiwa kwa maana ya kutegeshewa ili anase aolewe na sio ile kubambikiwa mimba isiyo yako japo nalo hili ni possibility especially kama ni "slow lena' kama jofu!

MJ1 hujambo bibie?

Yes kubambikiwa kwa maana ya kutegeshewa si unajua tena mie kiswahili nilikula mswaki fom foo?

SIJAMBO KAKA MIE MZIMA WA AFYA
 
Na hilo linasababishwa na increased level ya Uncertainty kuhusu uwezo wa wanawake kupata ujauzito, in the wake of increased and encouraged abortions and mis use of family planning drugs......
Kwa hiyo wewe shemeji ulikuwa unatest mpaka ulipopata anayeshika mimba? Na asingepata ujauzito ungemuacha?Na dada yangu ulimpendea kushika mimba na sio Yeye kama yeye as a Woman?
 
Kuna kina dada ambao wanauhusiano na wanaume zaidi ya 1 huwa wanashindwa kutambua mimba iliyo daka ni ya nani ya Fidel? au ya Kaizer au ya Xpin hapo ndo kwenye kasheshe unakuta kila mwanaume anaruka kihunzi.
 
Kwa ufafanuzi huu sasa mwelekeo wa mada na ubadilike.

Kama wapo (mie sijaona) kweli je huwa wanadiscuss na wapenzi wao kuwa hadi ubebe mimba ndo nitaanza taratibu za ndoa au huwa anaamua kimya kimya huku akisubiri mwanadada ujae tumbo?!! All in all still bado ni uzinifu dini zetu haziruhusu

Kuna mtu mmoja anayo signature inasema usianike upumbavu wako au ufiche upumbavu wako kitu kama hicho sijui ni nani kati ya Max na Invisible.

Huyu anayesubiri mpenziwe ajae tumbo ndo atangaze ndoa anauanika upumbavu wao mbele za watu!!
wapo sana tu!
huwezi kuwaona UNLESS UWE NA CHAIN YA BOYFRIENDS,maanake mwanamke mwenzio hawezi kukwambia ukweli kwenye hili.

unajua nin?....!hili swala sio theories,hii kitu ni practical.tunaiona na kwakweli kanisa lina pinga sana hii dhana!lakini IPO

wanaume hawapo tayari kuishi ndoa isiyo na mtoto!ndio maana mwanamke akigundua MWANAUME AKIGUNDUA mkewe hazai lazima atatoka nje...!mwanamke akigundua mumewe hazai MARA NYINGI HAWEZI KUTOKA NJE.atavumilia tu.

mwanamke yupo concerned na mapenzi tu!ANOTHER PROOF
 
Mungu wetu ni MUNGU mwenye huruma na upendo, na always kuna furaha Mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja kurudi kundini

Kufunga ndo ni namna mojawapo ya kuwarudisha kundini hao 'wazinifu' the way u put it here!

kWA SENTENSI HII HAPA KAIZER NAOMBA KUKUONYA TU KUWA UNAHALALISHA UZINIFU. AM SORRY BUT IT IS MY OPINION.
 
Yes kubambikiwa kwa maana ya kutegeshewa si unajua tena mie kiswahili nilikula mswaki fom foo?

SIJAMBO KAKA MIE MZIMA WA AFYA

Yeah na hapo mnapoamua wapendwa wetu, kweli uwezo wetu wa kubadilisha hiyo hali ni mdogo,
simply kwa sababu za kimaumbile...kipindi hiki mwanamke ndio yupo msotly sexually attractive and active (ovulation phase) na hata ladha inakuwa "tofauti" kabisa matokeo yake hata mwanaume ungekuwa na ujanja vipi urijali unafanya mimba iingie tu! lol unless of course anatumia yale 'madawa' (I hate 'em)

Na hapo ikiingia imeingia ndo moja kwa moja altareni tena...

Apo kwa kijani, UZIMA wako ndio AFYA yangu!
 
Mungu wetu ni MUNGU mwenye huruma na upendo, na always kuna furaha Mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja kurudi kundini

Kufunga ndo ni namna mojawapo ya kuwarudisha kundini hao 'wazinifu' the way u put it here!
YOU ARE ALMOST THERE pal!....
 
Yes kubambikiwa kwa maana ya kutegeshewa si unajua tena mie kiswahili nilikula mswaki fom foo?

Hii inatumiwa sana siku hizi.
Mi nilibambikiwa nikang'aka kumbe mtu alikuwa empty niliwahi rusha thread hapa hapa.
Wengine iwa wanabambika kutest zali, gia kubwa ni kutaka kuolewa kinguvu naona hapa panataka thread wengi wanaolewa au kuoa sidhani kama huwa wanakuwa wamepata right choice kama mwanadada ametumia njia ya mimba kulazimisha kuolewa hapo kutakuwa na mapenzi ndani ya nyumba? Jaribu kuliangalia hili kwa upana zaidi mjadala uendelee naenda uswazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom