Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Siku hiz huyu jamaa ambwene yesaya anafanya musik wa aina gan zaman alikua mwana hip hop siku hiz ana radha mpya ya music sijajua ni aina gan ya music anafanya
Mwenye kujua muzik anaofanya huyu jamaa anambie maana mimi kwakweli siku hiz simuelewi
Mwenye kujua muzik anaofanya huyu jamaa anambie maana mimi kwakweli siku hiz simuelewi