Siku hizi mke mwema hutoka kwa Mungu lakini mme mwema lazima atoke kwenye ATM

Bzimana

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
551
156
Imekuwa tofauti na zamani tabia, heshima na uchapa kazi ndivyo vilikuwa vikizingatiwa, lakini siku hizi bila pesa utahangaika kumpata mpenzi/mke, kwahiyo vijana ili umpate mke mwema fanya kazi kwa bidii, sasa sijui mwanamke ili apate mme mwema afanyeje.?
 
Kakudanganya nani..
Kuwa na hayo mapene yako ya mawazo ufikir unapendwa kumbe unafanywa ATM
Mwanaume sio pesa tu
 
siku hizi mwanaume unaangaliwa unashilingi ngapi.? hata kama wewe ni jambazi maarufu.
 
wewe huwa unaangalia nini hasa/unampendea nini?

Tofautisha upendo...kutaman...show off...
Elewa maisha ni mzunguko mwanamke atapenda mwanaume anayempatia kile akitakacho kwa wakati muafaka...ukikuhitaji uwepo...sehemu ya uamuzi ufanye kama mwanaume,, majukumu yako ujue...uwepo wako wa kumsikiliza na kumfurahisha
 
cku hizi ukimtongoza mwanamke leo....kesho inafuata invoice!!! cku hizi usitongoze mwanamke....zichange mtoe out....mmege....sepa.
 
Back
Top Bottom