samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Leo nimeenda shopping game, nimechoka aisee! Nimenunua vitu vyangu kufika counter dada akaanza ku scan mfuko (plastic bag) kwa ajili ya kuwekea zaga zangu nikamuuliza vipi? Kanambia na mifuko tunauza siku hizi.
Mkuu umetushika pabaya legeza kidogo vyuma.
Mkuu umetushika pabaya legeza kidogo vyuma.