Siku Haji Manara alivyo taka kuzipiga kavukavu na Shafii Dauda jijini Kinshasa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,080
27,029
Ilikuwa ni siku kadhaa after the infamous " underdog statement" from Shafii Dauda.

Siku hiyo ilikuwa ni siku ya mechi Kati ya Simba Sc na AS Vita.

Unbeknownst to Haji Manara, Shafii Dauda alikuwa miongoni mwa walio hudhuria mechi hiyo.

Haji Manara alikuwa surprised kumuona Shafii Dauda akiwa jukwaani na baadhi ya wanachama waandamizi wa Simba Sc.

Wakati game inaendelea Shafii Dauda alikuwa akionekana akichat na simu yake muda Mwingi.. Haji noted this too.

Mechi inaisha Simba anapigwa goli Tano bila.

Wakiwa wanaelekea hotelini walipo fikia ( Shafii Dauda alipanga at the same same hotel ambayo Simba walipanga.) Haji Manara anashangaa kuona kwenye Instagram Page ya Shafii Dauda Kuna update ya kila goli lililofungwa na As Vita.

Haji Manara took an offence and vowed to teach Shafii Dauda a lesson as soon as they reach in their hotel.

Fast forward , wanafika hotelini Haji Manara anamfuata Shafii Dauda Kwa hasira Kali, bad mouthing him akimuita msaliti na mnafiki mkubwa kisha anamkwida, watu Wana waachanisha, Haji anavua shati lake kisha anarusha ngumi kuelekea Kwa Shafii Dauda, Shafii Dauda anafanya uamuzi mmoja wa kizazi Sana.

Je unajua Shafii Dauda alifanya uamuzi gani? Nini kilitokea baada ya hapo?

Watch out part 2

UPDATE PART TWO; Shafii Dauda akaona ili kuepusha Shari basi wacha aondoke zake Lakini Haji Manara huku akiwa ameshikiliwa na watu aliendelea kutokwa na maneno mazito dhidi ya Shafii.

Maneno hayo yalimfika Shafii kwenye koo uvumilivu ukamshinda. Akaamua na yeye kupeleka majeshi.

Basi alicho kifanya Shafii alipaaza sauti yake akisema :

" JAMANI MSIMSHIKE HUYO, NYIE MUACHENI AJE AFANYE ANACHO TAKA KUNIFANYIA ILI ROHO YAKE IRIDHIKE"

Baada ya Shafii kuongea hivyo, Kiongozi mmoja wa Simba alimfuata na kumsihi aondoke. Shafii akamjibu

" KAKA NAKUHESHIMU SANA. KAMA UNATAKA TUSIVUNJIANE HESHIMA PLZ NAKUOMBA UNIACHE"

Yule Kiongozi kuona Shafii amekuja juu akaamua kumuacha zake Shafii.

Wakati huo Haji Manara bado anapambana na watu walio mshikilia wamuache ili aende akafanye vitu vyake Kwa Shafii.

Jamaa walipo ona Haji hatuliziki basi wakaamua kumuacha.

Wakati huo Shafii bado anazungumza jamani muacheni MSIMSHIKE!!

Hatimaye watu wakamuacha, wakabaki watu wawili ulingoni, Yani Haji Manara na Shafii Dauda huku viongozi na wachezaji wa Simba wakiwa washuhudiaji.

Haji Manara alipo achiwa alitoka mbio kuelekea usawa wa Shafii Dauda..

JE UNAJUA KITU GANI KILITOKEA BAADA YA HAPO?

Stay Tuned. part 3 inakuja.
 
Ilikuwa ni siku kadhaa after the infamous " underdog statement" from Shafii Dauda.

Siku hiyo ilikuwa ni siku ya mechi Kati ya Simba Sc na AS Vita.

Unbeknownst to Haji Manara, Shafii Dauda alikuwa miongoni mwa walio hudhuria mechi hiyo.

Haji Manara alikuwa surprised kumuona Shafii Dauda akiwa jukwaani na baadhi ya wanachama waandamizi wa Simba Sc.

Wakati game inaendelea Shafii Dauda alikuwa akionekana akichat na simu yake muda Mwingi.. Haji noted this too.

Mechi inaisha Simba anapigwa goli Tano bila.

Wakiwa wanaelekea hotelini walipo fikia ( Shafii Dauda alipanga at the same same hotel ambayo Simba walipanga.) Haji Manara anashangaa kuona kwenye Instagram Page ya Shafii Dauda Kuna update ya kila goli lililofungwa na As Vita.

Haji Manara took an offence and vowed to teach Shafii Dauda a lesson as soon as they reach in their hotel.

Fast forward , wanafika hotelini Haji Manara anamfuata Shafii Dauda Kwa hasira Kali, bad mouthing him akimuita msaliti na mnafiki mkubwa kisha anamkwida, watu Wana waachanisha, Haji anavua shati lake kisha anarusha ngumi kuelekea Kwa Shafii Dauda, Shafii Dauda anafanya uamuzi mmoja wa kizazi Sana.

Je unajua Shafii Dauda alifanya uamuzi gani? Nini kilitokea baada ya hapo?

Watch out part 2
Unatuchelewesha na part 2 mdau, si utuwekee link tu kama hiyo chini

Back
Top Bottom