Siku Dr. Bashiru wa sasa akikutana na Dr. Bashiru wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutawaka moto

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,357
11,502
Dr. Bashiru aliyekuwa akifundisha UDSM Political science akija kukutana na Dr. Bashiru huyu katibu mkuu wa CCM. Watasigana sana.

Na ugomvi wao utakuwa mkubwa. Hawa watu najua watakuwa wanapingana sana mawazo na wanagombana sana ila hawajapata bahati ya kugombana Physically.

Jambo hili ndo najua litakuwa gumzo kwa muda mrefu. Tuepushiwe tu lisitokee kamwe.
 
Mkuu, Huyu bwana,
amekwisha onja utamu wa keki ya Taifa sidhani kama kuna siku atakaa afurahie maisha yake ya kipindi kile.

hakuna anayeyapenda maisha ya jalalani ni Kama Dr. Wetu Tulia hivi sasa anawaza kurudi mjengoni nasio Mule jalalani.

Ogopa sana, hivyo Dr. Bashiru kukutana na the old Dr. Bashiru, itakua ni anguko!
 
Dr. Bashiru aliyekuwa akifundisha UDSM Political science akija kukutana na Dr. Bashiru huyu katibu mkuu wa CCM. Watasigana sana.

Na ugomvi wao utakuwa mkubwa. Hawa watu najua watakuwa wanapingana sana mawazo na wanagombana sana ila hawajapata bahati ya kugombana Physically.

Jambo hili ndo najua litakuwa gumzo kwa muda mrefu. Tuepushiwe tu lisitokee kamwe.
Umenikubusha movie inayoitwa back to the future
 
Back
Top Bottom