Siku CHADEMA....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku CHADEMA.......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sir R, May 31, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Itakuwaje kwa viiongozi wa serikali wanaoabudu CCM siku CDM ikishika dola.

  Wataendelea na tabia hii ya unafiki ya kutosimamia ukweli katika jamii kisa CCM iko madarakani.

  Au wataanza unafiki mpya kwa kuabudu CHADEMA ? Kama ni hivyo maendeleo hayatapatikana kwa kuwa mifumo ya unafiki itaendelea ndani ya nchi hii.

  Viongozi wa serikali wanatakiwa kusimamia sheria na kanuni katika maeneo ya kazi.
   
 2. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Itakuwaje Magufuri akiwa raisi kupitia CCM?
   
 3. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Itakuwaje siku Lowassa akiwa rais wa Tanzania mliochonga sijui mtakimbilia wapi?
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,857
  Trophy Points: 280
  no kukesha bar
  ukichelewa job ur fired
  no magumash,
  mwisho sa 12 kuzurura
  wafanyakaz wa serkal
  watafanya kazi kwa kadiri walipakodi wanavyo kamuliwa yani hakuna kufanya kazi ilimradi mshahara unaingia pale nmb trh 25.
  Kifupi nji itaendeshwa kijeshi!!!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,857
  Trophy Points: 280
  ntaomba ukatibu muhtasi najua 2month ninaendesha limo,
   
 6. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Acha kuturusha roho! Maana Tanzania chochote chawezekana kutokea! Siwaamini waTz kabisaaaa!
   
 7. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Na ndivyo inatakiwa.
   
 8. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahisi kama anga litakuwa limejaa helikopita za mafisadi yakikimbilia nchi jirani!
   
Loading...