Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Haleluya watumishi wa Mungu.
Ninaona Bwana akienda kuniinua hivi karibuni kwa utajiri na mafanikio ya kutisha. And I cant wait for that day kwa kuwa najua wale warembo walionikataa kutokana na hali yangu duni watahuzunika na kuomboleza kwa kulikataa 'jiwe kuu la pembeni'.
Eeh Mwenyezi Mungu nisaidie kuifikia siku ya kuinuliwa kwangu.
Ameen...