Siku ambayo Mzee Mwinyi alinaswa kofi la kiutu uzima..........

Ningeshangaa sana kama kwenye tamko hili kungekosekana JAZBA na uunganishaji wa sentensi zisizo na MANTIKI. Anaitumia silaha ileile ambayo katika maelezo yake anataka kuipinga. Mwislamu akikosea asiguswe wala asikemewe kwa sababu ni mwislamu, kwa hiyo anaonewa.
 
Back
Top Bottom