Siku ambayo mama alipata ushahidi kuwa nagegeda watoto wa watu... nilifadhaishwa sana.

Mama yake alikuwa anatoa mizigo kwenye gari si Unajua wanawake tunapenda mafurushi mengi Tukiwa tunasafir hivyo wakat anatoa bahat mbaya akaokota na kyupi akizani ni ya aunt yake Gudume imedondoka
Hahaha huyu jamaa stori zake bwana
 
Fuata tu ushauri wangu. Lamba limao au ndimu hiyo hali itakata au itapungua kuanzia hapo utakaa kwa amani bila kutema tema mate kwa kichefu chefu.
Kama Baba yako ushawahi kumuita dada sawa
 
"Aunt mdogo wake mama!". Umechemka kidogo huyu mi mama ako mdogo ili awe aunt lazima awe mdogo ake baba ako. Kesho unapotunga uongo kumbuka hilo
 
Back
Top Bottom