Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

1.Siku hiyo itaitwa kumbukumbu ya dikteta muuaji na mcheshi kuliko wote.
2.AU siku serikali ya majambazi ilipoondoka!
3.AU maadhimisho ya miaka kumi ya mateso chini ya Serikali ya wezi
4.AU siku mtandao wa wezi ulipoachia madaraka!!
Naomba mualiko wa sherehe....
 
kama wewe ni mwandishi wa habari basi taifi hili limepata hasara kuwa na mtu kama wewe. kwa kweli wewe ni disgrace kwa taifa hili.
hebu rudia kusoma ulichoandika kama wewe sio jisenge.
kupitia uongozi we kikwete
-hata wapumbavu kama wewe mnapata nafasi ya kuandika utumbo kama huu
-ndo kipindi pekee serikali iliyojenga barabara kila kona ya nchi kutoka km 6000 tu za watangulizi wake wote mpaka km 18,000.
-ndo kipindi pekee tumeona vyuo vikiongezeka kwa kasi ya ajabu
-umeme from less than 11% mpaka nearly 40%
-mashule kila kona
-mahosipitali kila kona
-uzalishaji wa walimu kutoka 850 tu kwa mwaka mpaka zaidi ya 4000 kwa mwaka
-kufikia 81% ya maji mijini na zaidi ya 52% ya maji vijijini.
-na mengine mengi ambayo siwezi kuyaandika hapa
narudia, kuwa na wewe kwenye taifi hili ni disgrace, ingekuwa uwezo wangu ningesama bora hata utangulie ahera tu. kama huwezi kuona chochote alichofanya kikwete kwenye uongozi wake. nyie ni walewale wa chuki.
Wameshammiss badala ya kusherehekea...
 
Wanamkumbuka sasa...Tanzania bila unafiki haiwezekani
mpumbavu kama wewe huwezi kuona jibu hapo. kwako wewe hamna hata jema alilofanya Kikwete. hata hizo barbara unazopita kwenda kwenu huwezi kuziona. wakati watu walisafiri kwenda kanda ya ziwa kwa kupita nchi jirani mbili kwa maana ya nairobi na kampala lakini leo hii imebaki historia.
again mpumbavu kama wewe huwezi ona jema hata moja la Kikwete. mimi sio fan wake lakini ushabiki wakipumbavu kama huu wa kwako huwa siuintertain hata kidogo.
maisha bora ulitaka akuletee mkate nyumbani kwako? au ulitaka aje akuzalishe kabisa.
kama kwenda lindi ulikuwa unatumia siku mbili toka dar lakini sasa unatumia masaa kumi sio mabadlikiko hayo? kama ulikuwa huna umeme leo unao sio maisha bora hayo?
maisha bora yanatafsiri pana ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu. kama maji, elimu nk. tumia kichwa kufikiria na sio kufugia nywele tu.

naziona chuki zako zilizodhahiri juu ya kikwete.

makosa kwenye utawala wowote ni possible. hata obama amepoteza mabunge yote mawili kutoka na makosa.
kama walivyo watu wengine binafsi suala kama la katiba limenichukiza sana na kura yangu ya big HAPANA ipo inasubiri. lakini haya yote hayaniondolei uhalali wa kisema ukweli.
 
kuondoka kwa kikwete ni sawa na kupona ugonjwa wa cancer. kikwete ni cancer iliyotafuna nchi kwa kipindi cha miaka kumi. asante mungu huu ugonjwa unaondoka kabla haujau wa TZ wote. uwarehemu waliotangulia kwa kuuwawa na ugonjwa huu. tulijitakia sisi wenyewe. wengine walisema ni chaguo lako mwenyezi, kumbe ni ugonjwa kutoka kuzimu.
Sasa hivi tuna ugonjwa gani baada ya kupona kansa?
 
Aisee
Elewa kwamba utawala wa JPM unapanda mbegu za chuki sana,trust me,2025 JPM akimaliza utawala wake,kuna baadhi ya watu wake wataishi kama wakimbizi hapa Tanzania!!

Majaliwa Kassim hapendi kusikia jina la Bashite kwenye hii serikali,lakini ndo hivyo,Bashite ni mtoto wa Baba! Bashite hana vyeti,Bashite ndo master mind wa ujinga mwingi unaofanyika hapa Tanzania!

Bashite anafokea watu,Bashite anafanya lolote atakalo,Bashite anajiona yeye ni Mungu mtu! Hadi anasema yeye ni mtumishi wa pili Tanzania kwa uchapaji kazi baada ya Baba yake!!

Bashite huyu anatukana watumishi hovyo hovyo hajui kwamba anaweza achia hiyo ofisi na kua muuza asali kama marehemu Ditopile,au mkulima kama mzee Mashishanga
 
Naomba mualiko JK hayupo tena tujilie mbusi setu sie...
Acheni kujifariji.

JK ndio kaweka msingi wa haya yote tunayoyashuhudia leo.

Angefanikisha Katiba mpya hata huu udhalimu usingekuwepo.

Wote ni wale wale ila kwa viwango tofauti.
 
Back
Top Bottom